Notebook inauzwa shilingi milioni 121.6 utaweza?

Notebook inauzwa shilingi milioni 121.6 utaweza?

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,921
Notebook ya Drake aliyokuwa akiitumia siku za nyuma ipo sokoni, inauzwa $ 54K (121.6 M Tsh) TMZ wameripoti kuwa notebook hiyo ya Drake ambayo alikuwa akiitumia utotoni ina mistari yake, namba za simu na mambo mengine binafsi.

Mziki ni biashara sio siri!!!

Wasanii wa bongo igeni hii naamini kuna mashabiki wa ukweli hata hapa kwetu bongo daslam.

F1AC6A17-4315-48AF-8FDF-B9D56C76C377.jpeg
94179275-5A57-44A2-AB5C-6C2721BF447D.jpeg
BCC048F9-EEBD-4CE7-BB88-3A763743E3ED.jpeg
 
Ndo maana nikiwa na forex balance napenda sana kulipa in $$.

Nilipoiona hii habari kwa mara ya kwanza saa kadhaa zilizopita; 54G niliichukulia kwa uzito mdogo lakini hiyo milioni mia moja na ngapi cjui imenitisha kwelikweli.
 
Haha dala $ inapunguza uzito wa kuona pesa ni nyingi sio
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] kabisa aisee kuna kipindi nilichoma usd 200 nikaona ndogo kuzileta kwa Tsh wallahi unaweza kujitusi. Now naweza withdraw hata 500usd nikaona ndogo ikiingia mpesa heee kumbe M na upuuzi.
 
Wakati wa kufanya manunuzi $$ zinapunguza sana maumivu!! Nilizipenda zaidi $$ cku nimeangalia bei ya nyumba za NHC (Penthouse)... ONLY 352G.
Ukiangalia bei yake in TZS, utakimbia bila kuaga... 792 Million!!

Wallah ningekuwa na pesa, zile apartment ningenunua kwa kutumia $$ account ambayo ni laki tatu tu na hamsini na 2 elfu lakini nilipe milioni mia saba tisini na mbili... no way!
 
Kibongo bongo hapa kama kuna
Wakuuza na ikauzka bhas m Hawa

Kiba
Mr nice
Tmk
Qchila
Prf Jay
Joh makin
Ray c
Nurture
20%
Afande Sele
Gk
 
mm hp nina pen niliyokuwa nikiitumia primary mitaa ya oysterbay naifanyia mnada kwa 566$
 
Kibongo bongo hapa kama kuna
Wakuuza na ikauzka bhas m Hawa

Kiba
Mr nice
Tmk
Qchila
Prf Jay
Joh makin
Ray c
Nurture
20%
Afande Sele
Gk
Sijamwona jamaa fulani....
Jiandae team yake ifike 😀
 
Mi nafuta daftari LA mwandiko LA diamond LA shule ya msingi
 
Back
Top Bottom