samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Noti mpya zipo mkuu mtaani, Juzi nimeziona Loliondo
Mkuu I will be the same reverend! Kuna unafiki mkubwa sana JF....it's not related with the beauty of my behaviour.....fanya him a ukapate kikombe. Fikiria mzee mzima baada ya kupata kikombe alitoka na philosophy ya kuvua Magamba.
Noti mpya zipo mkuu mtaani, Juzi nimeziona Loliondo
Mkuu I will be the same reverend! Kuna unafiki mkubwa sana JF....it's not related with the beauty of my behaviour.....fanya him a ukapate kikombe. Fikiria mzee mzima baada ya kupata kikombe alitoka na philosophy ya kuvua Magamba.
Kuna tetesi kwamba BOT wamejiridhisha kwamba zile note ubora wake upo chini sana, inasemekana wanaangalia namna ya kuvunja mkataba na kampuni iliyochukua tenda ya kuzitengeneza lakini vifungu kibao katika mkataba hawakuvisoma vizuri hivyo wakivunja mkataba serikali itabidi ilipe mamilioni ya Dola hivyo kuna uwezekano wa kuendelea kuzitumia tuu.
Huyu Ndullu ni bomu kabisa...Mimi nilitaka aondolewe baada ya ile scandal ya EPA lakini akaachwa na kuna watu wanasema huyu jamaa ni kichwa sana. Huwezi kuwa kichwa sana huku ukidai kutoa rangi kwa noti mpya ni mojawapo ya security measures ili noti hizo zisichakachuliwe. Wameziondoa kimya kimya sijui walitumia mabilioni mangapi kuzichapisha.
Ni jambo la kutisha kama fedha ambazo taifa limetangaziwa kwa miezi kadha na kuelimisha wananchi jinsi ya kuzitambua, zinaondolewa kwenye mzunguko bila taarifa kwa umma!Wana JF.
Kimuonekano, Noti Hizi mpya zinaondolewa kwenye Mzunguko.
Si matarajio yangu, kwnda Benki na kupewa Noti za zamani ilhali hizi noti zilitakiwa kutolewa katika mzunguko kupisha uingizaji wa noti mpya.
Jinsi mambo yanvyoeenda si muda mrefu hizi noti mpya zitaondoka kabisa katika Mzunguko.
Je? Si haki yetu watanzania kujua Kinachoendelea hapa? Kama sio ufisadi kwanini hili jambo linafanywa kisirisiri?
Nini kinaendelea hapa?