samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Bora hizo noti zikaondolema maana zinazidiwa ubora kwa kiasi kikubwa sana na noti za zamani. Hizi mpya hasa za 500 na 1000 zinapauka vibaya sana tena kwa muda mfupi tu. Nafananisha na uzinduzi wa window vista ambayo ilikuja kupitwa ubora na mtangulizi wake window xp ikawalazimu watalamu kuja na window 7. Kwa kweli binafsi i fill comfortable kuwa na noti za zamani kuliko kuwa na noti mpya.