Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juma lililopita nilipitia barabara ya kilwa nikakutana na gari la Polisi likiendeshwa Hovyo Hovyokutokea bandarini likitaka tupishe njia Huku likifuatiwa na Maroli 7-8 yamebeba makasha makubwa ya futi 20 hivi yakisindikizwa chini ya ulinzi mkali wa polisi na wanausalama toka Benki kuu yenye namba za SU.wadadisi wakasema hayo malori yamebeba pesa!kwahiyo nafikiri labda wameleta mbadala wa zile za mwanzo!Wana JF.
Kimuonekano, Noti Hizi mpya zinaondolewa kwenye Mzunguko.
Si matarajio yangu, kwnda Benki na kupewa Noti za zamani ilhali hizi noti zilitakiwa kutolewa katika mzunguko kupisha uingizaji wa noti mpya.
Jinsi mambo yanvyoeenda si muda mrefu hizi noti mpya zitaondoka kabisa katika Mzunguko.
Je? Si haki yetu watanzania kujua Kinachoendelea hapa? Kama sio ufisadi kwanini hili jambo linafanywa kisirisiri?
Nini kinaendelea hapa?
Juma lililopita nilipitia barabara ya kilwa nikakutana na gari la Polisi likiendeshwa Hovyo Hovyokutokea bandarini likitaka tupishe njia Huku likifuatiwa na Maroli 7-8 yamebeba makasha makubwa ya futi 20 hivi yakisindikizwa chini ya ulinzi mkali wa polisi na wanausalama toka Benki kuu yenye namba za SU.wadadisi wakasema hayo malori yamebeba pesa!kwahiyo nafikiri labda wameleta mbadala wa zile za mwanzo!
Jamani noti mpya zipo na hakuna mpango wa kuziondoa kama wengi mnavyofikiri, hazitolewi kwa kasi kana kwamba hizi za zamani zinatakiwa kupotea ndani ya mwezi, kama ni hivyo tungepewa muda wa kwenda kuzibadilisha benki kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.Hakuna uharaka huo zitajiondoa taratibu na hizi mpya zitakuwa nyingi kwenye mzunguko taratibu.!!!!
Kwani hamjasikia kuna pesa feki nyingi kwenye mzungo ambazo zinaathiri uchumi wetu?