Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona Mkuu? Barabara ya Kenyatta road! Kaaazi kweli kweli!
Uchumi wetu unapanda kila mwaka.Je ni kweli unapanda kama mpaka shilingi mia tano inawekwa kwa mtindo wa sarafu? Hii ni hatari sana.
kwa hiyo ikiwa sarafu tatizo liko wapi?
Good news maana ikiwa noti inaonekana kubwa bora ikiwa sarafu itasaidia hata kutowa sadaka
Good news maana ikiwa noti inaonekana kubwa bora ikiwa sarafu itasaidia hata kutowa sadaka
Ulimaanisha kusema 'sarafu' sio?!Hiyo ya shilingi imeshatolewa?
tusije kushangaa watakapotengeneza COIN ya msimbazi!!! Hii nchi tamu hii.., ila uwe na meno sasa.., daaah...!!!Utasikia wameprint noti ya 50000
Siku hizi sadaka za sarafu hazitakiwi, hapo ni maumivu zaidi maana sadaka sasa itakuwa kuanzia buku.....Good news maana ikiwa noti inaonekana kubwa bora ikiwa sarafu itasaidia hata kutowa sadaka
Mimi nasubiri sarafu ya elfu kumi!!