Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
Pumzika kwa"amani" uchumi wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasikia wameprint noti ya 50000
Utasikia wameprint noti ya 50000
Utasikia wameprint noti ya 50000
Unaondoa Noti unaweka sarafu...Wachumi tusaidieni hii inamaanisha nini kwenye uchumi wa njii yetu
kikwete utakumbukwa kwa upumbavu unaoufanya
Madhara ya kusoma heading na kurukia keyboardHiyo ya shilingi imeshatolewa?
Minaombea waprint not ya 100000 ili iwe rahisi kwa vibaka kuchomoa mifukoni na kuibuka na donge nono #MAISHA_BORA_KWA_KILA_mTZ
tusije kushangaa watakapotengeneza COIN ya msimbazi!!! Hii nchi tamu hii.., ila uwe na meno sasa.., daaah...!!!
Baada ya noti ya shilingi mia tano kuwa kwenye mzunguko mkubwa hivyo kuchakaa mapema,benki kuu ya Tanzania imeamua kuleta sarafu ya shilingi miatano mwaka huu wa fedha inayotamiwa kudumu kwa miaka zaidi ya ishirini
============================================
Chanzo;jukwaahuru
Unaleta ujinga kwenye msiba siyo.?Good news maana ikiwa noti inaonekana kubwa bora ikiwa sarafu itasaidia hata kutowa sadaka