Noti za Tsh. 50000 na 100000

South Africa noti Yao ya juu kabisa ni 200 Rand.....

Nafikiri kuwa kuna kitu cha kujifunza hapo kabla ya kufanya maamuzi hayo ya kutoa noti ya 50 elf.
 
Mimi nashauri tupunguze walau 0 moja kwenye kila hela yetu inayotumika kwa sasa!! Au ndiyo kusema haiwezekani kabisa?

Wachumi wabobevu mnisaidie tafadhali katika hili. Hivi ndiyo kusema hatuwezi tena kurudi nyakati zilizopita za kutumia cent 50, shilingi 1, shilingi 5, shilingi 10, shilingi 20, na nk?
 
Kiuchumi haijakaa poa, wazo lako litatupoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…