niquetamere
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 532
- 1,008
Hauna akili kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata B. W. Mkapa aliweza sana kudhibiti mfumuko wa bei na inflation rate. Alijitahidi sana kuhusu suala hili, japokuwa pesa ilikuwa ngumu sana kupatikana.cha msingi na muhimu serikali inatakiwa kucontrol market ilikuleta nafuu mbona magufuli aliweza jmn.
Kumbe kuna ya 100k sijaiona nimekutana 50kUganda long time wana noti za 50k na 100k
South Africa noti Yao ya juu kabisa ni 200 Rand.....Habari ndugu zangu.
Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, thamani ya pesa yetu imeshuka pia. Noti moja ya sh. elfu kumi si kitu tena.
Ata ukienda dukani tu kwa muha kununua mahitaji ya nyumbani elfu kumi inakatika kwa vitu hata mkononi havijai. Mimi binafsi huwa najitahidi kununua mahitaji ya nyumbani kwa pamoja kama vyakula hvo natakiwa kwenda kwa muha na noti za elfu kumi kumi kuanzia kumi na mbili na zaidi.
Binafsi naona kuna umuhimu wa kuongeza noti za elfu hamsini na laki moja kwenye hela zetu. Hii itaweza kurudisha hadhi ya hela yetu kiasi fulani, ukiwa na noti moja ya elfu hamsini huna wasiwasi inaweza kufanya mambo mawili matatu bila tatzo tofauti na hzi elfu kumi. Pia itapunguza ulazima wa kubeba manoti mengi kwa matumizi ya kawaidi tu.
Mimi nashauri tupunguze walau 0 moja kwenye kila hela yetu inayotumika kwa sasa!! Au ndiyo kusema haiwezekani kabisa?Habari ndugu zangu.
Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, thamani ya pesa yetu imeshuka pia. Noti moja ya sh. elfu kumi si kitu tena.
Ata ukienda dukani tu kwa muha kununua mahitaji ya nyumbani elfu kumi inakatika kwa vitu hata mkononi havijai. Mimi binafsi huwa najitahidi kununua mahitaji ya nyumbani kwa pamoja kama vyakula hvo natakiwa kwenda kwa muha na noti za elfu kumi kumi kuanzia kumi na mbili na zaidi.
Binafsi naona kuna umuhimu wa kuongeza noti za elfu hamsini na laki moja kwenye hela zetu. Hii itaweza kurudisha hadhi ya hela yetu kiasi fulani, ukiwa na noti moja ya elfu hamsini huna wasiwasi inaweza kufanya mambo mawili matatu bila tatzo tofauti na hzi elfu kumi. Pia itapunguza ulazima wa kubeba manoti mengi kwa matumizi ya kawaidi tu.
Kiuchumi haijakaa poa, wazo lako litatupoteza.Habari ndugu zangu.

[emoji23]Kiuchumi haijakaa poa, wazo lako litatupoteza.