November 25 yagombaniwa, Efm/TvE vs Clouds Media

Muda si mrefu utasikia MAWINGU wameanzisha campaign ya kupinga/kupiga vita vitu vya bure.

Hawajawahi kushindwa kitu hawa.
 
Mkuu EFM unawajua lakini?

Hebu angalia toka wameanza mpaka hapa walipofika!

Imefikia mahali Mawingu wanakopi kwa jamaa hawa program kibao.

Nawajua Efm, Pia nawajua Mawingu jinsi walivyo na uwezo mkubwa kwenye kudeal na wakurupukaji kama hao.

Kuna scenario kama hizi zilitokea huko nyuma but mpaka leo Clouds inazidi kuwakimbiza tu.
Kumbuka beef ya Clouds na Jay D, ilianzishwa campaign ya kutokusiliza Clouds, kumbuka alichofanya Ruge, na matokeo yake yakawaje. E Fm bado Ana safari ndefu sana kuweza kusimama na Clouds na kumtunishia misuli.

Mtaendelea kubisha kiushabiki tu. Ila ukienda kwa Fact nadhani ukweli unaujua hata kabla hujaandika comment yako.
 

Personally I don't have any personal interest with any of those two entities, am just a fan. If you want to ask me which of the stations I listen the most between those two, I will definitely tell you it's EFM.
 

Ni kweli usemayo, lakini utawala huu watano atakayesimama ni yule aliyekaribu na Bashite ma baba ake na kuweza kuwanyenyekea .

Vipi taarifa yao ya habari clouds tv haijaweza kubamba na unasema hawashindwi jambo? Yaani bora hata habari ya channel 10
 
Bure na Kiingilio sio tatzo swala ni moja hayo matamasha yatakuwa na wasanii gan kila upande? Aina ya wasanii wata determine uelekeo wa mashabiki.
Mkuu bongo wanapenda vya bure hasa sie wa uswazi na ukiangalia matanasha yote hayo mawili fans wake wengi ni kutoka uswazi, pia kumbuka kilichotokea mbeya hadi fiesta ikasimama baada ya sugu kuweka tamasha la bure siku ya fiesta unaanbiwa kwenye fiesta waliingia watu wawili tu
 
Unajua nani alianza kui-book hiyo Tarehe 25 Nov??
 
Usijitoe ufahamu kujisahaulisha hao clouds walipopanga show ya Mwana Fa wakati siku hiyo Ladyjaydee alikuwa na uzinduzi wa albamu yake na wasanii aliowaalika Jide hawakwenda wakaenda show ya clouds
Karma
 
Ni kweli usemayo, lakini utawala huu watano atakayesimama ni yule aliyekaribu na Bashite ma baba ake na kuweza kuwanyenyekea .

Vipi taarifa yao ya habari clouds tv haijaweza kubamba na unasema hawashindwi jambo? Yaani bora hata habari ya channel 10
Taarifa gani ya habari libaba linachekacheka
 
Wametumwa co bure!
 
Makonda kapigilia msumali leo alipokuwa anahojiwa Efm kwamba matamasha yote Dar ya wazi mwisho saa 6 usiku ....


Hehehehehe KAA katema cheche

"Mpaka dakika hii ninavyoongea sheria haijabadilika saa sita ni mwisho, Ukitaka kupiga muziki kuanzia saa sita usiku na kuendelea nenda kwenye ‘Club’ kwaa maana kule kuna ‘Sound Proof’ sauti haiwezi kutoka nje kusumbua watu, Na kama askari wangu wananisikia kupitia E-fm sitaki kusikia muziki unapigwa kwenye majengo ama maeneo ya wazi na bahati nzuri huwa natembea usiku".- Mh. Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam [HASHTAG]#JotoLaAsubuhi[/HASHTAG]

Huu mchezo hauhitaji hasira
 
Kusaga ameshajua hili ndiyo maana anajarubu isukuma clouds nje ya mipaka ya Tz
 
WAMESAHAU WALIVOMWEKA FA NA JIDE ENH!
NA WAKAACHIWA VITI WAZI VILE VILE!
nasikia wameanzisha mpk kampeni ya KAA!
NYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Yaaani tutaona movie[emoji23][emoji23]
YANI AENDE TU!
hata ikia ni surprise bila kuwaambia watu!wakisikia ameenda wataamka na waliolala!
halaffu efm wawaite na TATU MZUKA,NA BIKO WAJE SIKU HIYO WATANGAZIE MSHINDI HAPO!
ahhhahahahahhaha mtu amtag majjizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…