Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda si mrefu utasikia MAWINGU wameanzisha campaign ya kupinga/kupiga vita vitu vya bure.
Hawajawahi kushindwa kitu hawa.
Mkuu EFM unawajua lakini?
Hebu angalia toka wameanza mpaka hapa walipofika!
Imefikia mahali Mawingu wanakopi kwa jamaa hawa program kibao.
Nawajua Efm, Pia nawajua Mawingu jinsi walivyo na uwezo mkubwa kwenye kudeal na wakurupukaji kama hao.
Kuna scenario kama hizi zilitokea huko nyuma but mpaka leo Clouds inazidi kuwakimbiza tu.
Kumbuka beef ya Clouds na Jay D, ilianzishwa campaign ya kutokusiliza Clouds, kumbuka alichofanya Ruge, na matokeo yake yakawaje. E Fm bado Ana safari ndefu sana kuweza kusimama na Clouds na kumtunishia misuli.
Mtaendelea kubisha kiushabiki tu. Ila ukienda kwa Fact nadhani ukweli unaujua hata kabla hujaandika comment yako.
Personally I don't have any personal interest with any of those two entities, am just a fan. If you want to ask me which of the stations I listen the most between those two, I will definitely tell you it's EFM.
Nimekusoma mkuu
Nawajua Efm, Pia nawajua Mawingu jinsi walivyo na uwezo mkubwa kwenye kudeal na wakurupukaji kama hao.
Kuna scenario kama hizi zilitokea huko nyuma but mpaka leo Clouds inazidi kuwakimbiza tu.
Kumbuka beef ya Clouds na Jay D, ilianzishwa campaign ya kutokusiliza Clouds, kumbuka alichofanya Ruge, na matokeo yake yakawaje. E Fm bado Ana safari ndefu sana kuweza kusimama na Clouds na kumtunishia misuli.
Mtaendelea kubisha kiushabiki tu. Ila ukienda kwa Fact nadhani ukweli unaujua hata kabla hujaandika comment yako.
Mkuu bongo wanapenda vya bure hasa sie wa uswazi na ukiangalia matanasha yote hayo mawili fans wake wengi ni kutoka uswazi, pia kumbuka kilichotokea mbeya hadi fiesta ikasimama baada ya sugu kuweka tamasha la bure siku ya fiesta unaanbiwa kwenye fiesta waliingia watu wawili tuBure na Kiingilio sio tatzo swala ni moja hayo matamasha yatakuwa na wasanii gan kila upande? Aina ya wasanii wata determine uelekeo wa mashabiki.
Unajua nani alianza kui-book hiyo Tarehe 25 Nov??Hata kama ni Competition hicho wanachotaka kufanya Efm/TVE ni utoto sasa... Kwa style hii maendeleo nchi hii ngumu sana
Inajulikana Fiesta ni brand ya clouds kwa nini usipange ratiba zako tarehe nyingine kama unahamu ya kutupa tamasha la bure? To me that is so low and pathetic! Kama wao ndio walianza kutangaza tarehe basi clouds wasogeze mbele
KarmaUsijitoe ufahamu kujisahaulisha hao clouds walipopanga show ya Mwana Fa wakati siku hiyo Ladyjaydee alikuwa na uzinduzi wa albamu yake na wasanii aliowaalika Jide hawakwenda wakaenda show ya clouds
Taarifa gani ya habari libaba linachekachekaNi kweli usemayo, lakini utawala huu watano atakayesimama ni yule aliyekaribu na Bashite ma baba ake na kuweza kuwanyenyekea .
Vipi taarifa yao ya habari clouds tv haijaweza kubamba na unasema hawashindwi jambo? Yaani bora hata habari ya channel 10
Wametumwa co bure!Hata kama ni Competition hicho wanachotaka kufanya Efm/TVE ni utoto sasa... Kwa style hii maendeleo nchi hii ngumu sana
Inajulikana Fiesta ni brand ya clouds kwa nini usipange ratiba zako tarehe nyingine kama unahamu ya kutupa tamasha la bure? To me that is so low and pathetic! Kama wao ndio walianza kutangaza tarehe basi clouds wasogeze mbele
NATAMANI AENDE!Yaani Diamond peke yake tu inatosha[emoji23][emoji23][emoji23] sema clouds watammind sana Mond.
Yaaani tutaona movie[emoji23][emoji23]NATAMANI AENDE!
YANI AENDE TU!Yaaani tutaona movie[emoji23][emoji23]