November 25 yagombaniwa, Efm/TvE vs Clouds Media

Wacha kujisahaulisha Wewe!
unakumbuka clouds walichomfanyia jide?

Tulia mkuu .....tena Wabongo tunavyopenda vya bure
 
We jamaa umejudge vibaya.

Katika kuelekea uchumi wa viwanda, hivi ndivyo sisi tunataka.
Muuzaji "A" lete product yako, muuzaji ''B" leta product yako pia, msiogope tangazeni sifa za products zenu

Haina haja ya mzalishaji asitishe kutoa huduma yake sababu sokoni tayari Kuna product hio.

Kama wataona kuna conflict of interest wao watakaa chini watapanga,Ila wewe Kama mshabiki una wasi wasi gani?!
 
Usijitoe ufahamu kujisahaulisha hao clouds walipopanga show ya Mwana Fa wakati siku hiyo Ladyjaydee alikuwa na uzinduzi wa albamu yake na wasanii aliowaalika Jide hawakwenda wakaenda show ya clouds

Waache nao wameze dawa walizokuwa wanawamezesha wenzao, tena ikibidi aletwe msanii toka nje, na hata wakiahirisha na sisi tunaahirisha.

Kama namwona Makonda atakavyoamrisha Fiesta iishe saa 6 huku EFM ikikesha...

Tunazima kiki, tunawasha muziki.
 
Karma is a bitch.

Kuna siku watu mtakuja kusema ccm inaonewa kwa sababu sasa hivi ipo madarakani hamuoni inavyowatesa Watanzania. Ni sawa na hao clouds nakumbuka tamasha la Sugu la Anti virus nao walipanga tarehe hiyohiyo na wakamleta msanii kutoka Marekani, lakini Sugu alishinda kwa kupata public sympathy.
 
Hapo msanii nae atachekecha akili yake, kwamba uitwe side A ya bure au uitwe side B ya mpunga
 
kat
katika kutafuta wateja kila mtu ana mbinu zake. unazoziita wewe patheitic kwa wenzio ndio chansi ya kuwin zaidi populality. hata bidhaa mpya ikiingia sokoni either inagawiwa bure or kwa cheap price ili kujitangaza. to etv/efm clouds wamekamatwa.
 

Nakumbuka hili Tamasha lilifanyikia Viwanja vy Ustawi wa Jamii, tulijaa kama nini.

Hata lile la Jide na wao Clouds wakaandaa la Mwana FA.
 
Hivi mmesahau Clouds walichomfanyia Ladyjdee kwa kumuandalia mwana FA tamasha Siku Moja na la Jde ili kumkomoa? Leo Efm wanafanya the same thing mnasema ni utoto? Tuwaache wapambane wote wanajua uhuni wanaofanyiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…