gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,666
nadhani itakuwa ni Dar live mbagala
Kama Mbagala haina shida maana ni mbali mtu hawezi toka Tegeta kwenda Dar live kisa show ya bure.
Mtanange utanoga hao efm wakifanyia show yao Biafra kinondoni au kijitonyama posta vs clouds leaders