Kama mnafuatilia zamani clouds walishawafanyiaga hivi hivi times FM au magic (mtanirekebisha kidogo) walimleta Joe Thomas na wasanii wengine kutoka nje (venue leaders club ) na wao walikuwa wakwanza kutangaza siku ya tukio na clouds baada ya muda wakatangaza kumleta eve na fat Joe (venue viwanja vya posta) ,kusema kweli leaders kulipwaya yaani ile nafasi mnaweza mkaweka magori mkacheza mipira ya miguu ,alafu asubuhi take Gerald hando aliwaponda sana kwenye PB Leo yupo E FM.Clouds watu wafitina huwezi jua waliwafanya nini E FM.