November 25 yagombaniwa, Efm/TvE vs Clouds Media

November 25 yagombaniwa, Efm/TvE vs Clouds Media

Usinikumbushe, ilikua show ya fiesta kati ya 2012/2013 nilichokishuhudia nilisema sitokanyaga tena FIESTA

Wadada waliporwa ...walibakwa.... yaani watu ambao hawakuguswa walio kwenye magari...uwe kwenye bajaj..uwe kwenye boda unavutwaaa...

Kuna dada alivutwa akaangukia chini ya gari huku analia wamuachie, nilimuonea huruma ila unaanzaje kushuka kwenye gari umsaidie??

Nakubaliana na wewe hata FIESTA ina mambo ya kihuni.
Nakumbuka enzi Niko nakamilisha stage za makuaji yashanikuta nkasema Dar ntaenda fiesta siku akija Usher Raymond,Westlife au R
Kelly
 
Nawengine tunaweka tamasha la nyimbo za injili( Gospel music Concert ) siku hiyo hiyo, nimesikia kuwa wasambaa watakuwa na ngoma ya mdumange na kiingilio bure kwa wasambaa wote, kama sio msambaa unaingia kwa buku jero
Wewe utabarikiwa zaidi mkuu...by the way siku hizi vijana hawali bata kama zamani, zamani watu walikuwa wanagawana burudani tu yaani mwingine anakwenda kwenye soka, mwingine disco na mwingine kwenye muziki wa dance na bado sehemu zote zilikuwa zinajaa.
 
Usijitoe ufahamu kujisahaulisha hao clouds walipopanga show ya Mwana Fa wakati siku hiyo Ladyjaydee alikuwa na uzinduzi wa albamu yake na wasanii aliowaalika Jide hawakwenda wakaenda show ya clouds

Mtendwa katendwa sasa
 
Efm wanainvest katika mabif ya kijinga...

WCB crew tayari wana mgogoro nao .

Watafeli vibaya sana. Wabaki tu na singeli zao.
Labda hizi entertainment media wewe huzifatilii,
Clouds wameshakuwa na mabifu na WASANII WANGAPI HAPA BONGO?JIBU ni wengi sana na wanaendelea kushain,maana bifu ni kwammmba hata mziki wa msanii husika haupigwi.
Then magic fm n diamond,nadhan wameyamaliza,sugu na clouds na wengine weeengi (hope u kno them),times fm na diamond sijui walishayamalizaga.
Hayo mabifu ni masuala ya biashara tu.
Pia EATV walishakuwa na mabifu na wasanii (kwa kutopiga nyimbo zao),clouds hadi walikuwa wakimbeza sugu kuwania ubunge mbeya 2010
 
Ila moja ina bei nyingine ni bure......
TBC inapatikana bure star times ila haiangaliw sana,na je ITV si hadi ilipiwe?
Wacha waende sokoni,wananchi ndo wenye maamuz ambao ndo wateja
 
Usinikumbushe, ilikua show ya fiesta kati ya 2012/2013 nilichokishuhudia nilisema sitokanyaga tena FIESTA

Wadada waliporwa ...walibakwa.... yaani watu ambao hawakuguswa walio kwenye magari...uwe kwenye bajaj..uwe kwenye boda unavutwaaa...

Kuna dada alivutwa akaangukia chini ya gari huku analia wamuachie, nilimuonea huruma ila unaanzaje kushuka kwenye gari umsaidie??

Nakubaliana na wewe hata FIESTA ina mambo ya kihuni.
Na huwa hawatak kuripot,kila MWAKA LAZIMA HAYO YATOKEE,toka leaders kuja manyanya huwa ni mbali mno kwa wadada,
 
Mfumo ni wa biashara huria,kuna wakat JD na Mwana FA walifanya show siku 1,
Mambo ya kusema mpishe flan afanye sio zama hizi,
Efm watakua na venue yao na wasanii wao,clouds pia.
So wala hakuna KUOGOPANA,hizo ni biashara mkuu usiumize kichwa hata kidogo,itakua ajabu nao clouds kama watamhofia EFM[emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu hujamsikia ruge na sera yake ya "kataa kuwa kaa"

dalili ya uoga hii
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Dar ina wakazi zaidi ya 5m kwa hiyo hakuna atakaye kosa watu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom