Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa ni muongo mnooo...Labda hizi entertainment media wewe huzifatilii,
Clouds wameshakuwa na mabifu na WASANII WANGAPI HAPA BONGO?JIBU ni wengi sana na wanaendelea kushain,maana bifu ni kwammmba hata mziki wa msanii husika haupigwi.
Then magic fm n diamond,nadhan wameyamaliza,sugu na clouds na wengine weeengi (hope u kno them),times fm na diamond sijui walishayamalizaga.
Hayo mabifu ni masuala ya biashara tu.
Pia EATV walishakuwa na mabifu na wasanii (kwa kutopiga nyimbo zao),clouds hadi walikuwa wakimbeza sugu kuwania ubunge mbeya 2010
Lady Jay Dee a.k.a Jide a.k.a Wallet a.k.a Commando a.k.a Binti Machozi....ni msanii gani aliewahi kuwa na bifu na clouds afu akaendlea kutamba?
Walioanza kufanya uhuni ni clouds labda km wewe mgeni mwaka Jana nadhani wenzao walikuwa na tamasha chuo cha posta na wao wakaweka lao la chips yai Tmk.Hata kama ni Competition hicho wanachotaka kufanya Efm/TVE ni utoto sasa... Kwa style hii maendeleo nchi hii ngumu sana
Inajulikana Fiesta ni brand ya clouds kwa nini usipange ratiba zako tarehe nyingine kama unahamu ya kutupa tamasha la bure? To me that is so low and pathetic! Kama wao ndio walianza kutangaza tarehe basi clouds wasogeze mbele
Labda anahis sie wa KOLOMIJEHuyo jamaa ni muongo mnooo...
Kwenye matamasha ya EFM ya Muziki Mnene wasanii wa WCB Richie Mavoko na Rayvanny walitumbuiza..Sasa hilo bifu sijui limetoka wapi eti...
Ushawahi kwenda fiesta? Hilo tamasha ndio linaongoza kwa wizi na ukabaji sehem zote kuanzia linapowekwa.Yani niende kwenye tamasha la bure nirudi na ngeu???? kwa sisi wapenda burudani na starehe tunapendelea matamasha yenye viingilio tena ikiwezekana bei ikiwa kubwa mana ustaarabu unakuwepo, tunahangaika kutafuta pesa haipaswi kupata mateso wakati wa kuitumia.....wahenga wanasema "bure gharama"
Kataa kuwa kaa anamaanisha nn?mkuu hujamsikia ruge na sera yake ya "kataa kuwa kaa"
dalili ya uoga hii
Sasa kama humjui hata mmoja huu uzi haukufaini msanii gani aliewahi kuwa na bifu na clouds afu akaendlea kutamba?
Hajui lolote huyo,mabint anaijua fiestaUshawahi kwenda fiesta? Hilo tamasha ndio linaongoza kwa wizi na ukabaji sehem zote kuanzia linapowekwa.
Kati yao Hawa Nani bado ana beef na clouds nowadaysSasa kama humjui hata mmoja huu uzi haukufai
1.Sugu
2.JIDE
3.Prof Jay
Umebadili swali tena?..Swali la msingi lilikuwa msanii kuwa na beef na Clouds na kuendelea kutamba...Hao waliotajwa pamoja na kwamba walikuwa na beef waliendelea kutamba (jibu la swali lako la msingi)..Pamoja na beef kuisha mpaka sasa Clouds hawachezi nyimbo za Jide na bado anatamba...Kati yao Hawa Nani bado ana beef na clouds nowadays
Swali lako nilishakujibu,nimekutajia waliowah kuwa na beef na wametamba.ni msanii gani aliewahi kuwa na bifu na clouds afu akaendlea kutamba?
Kati yao Hawa Nani bado ana beef na clouds nowadays
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umebadili swali tena?..Swali la msingi lilikuwa msanii kuwa na beef na Clouds na kuendelea kutamba...Hao waliotajwa pamoja na kwamba walikuwa na beef waliendelea kutamba (jibu la swali lako la msingi)..Pamoja na beef kuisha mpaka sasa Clouds hawachezi nyimbo za Jide na bado anatamba...
Jamaa anaamisha magoli, atakuwa wa mikoani huyu siyo bure[emoji3] [emoji3]Umebadili swali tena?..Swali la msingi lilikuwa msanii kuwa na beef na Clouds na kuendelea kutamba...Hao waliotajwa pamoja na kwamba walikuwa na beef waliendelea kutamba (jibu la swali lako la msingi)..Pamoja na beef kuisha mpaka sasa Clouds hawachezi nyimbo za Jide na bado anatamba...
umesahau na juzi mbagala wakati wanaipa promo choice fmWacha kujisahaulisha Wewe!
unakumbuka clouds walichomfanyia jide?
Tulia mkuu .....tena Wabongo tunavyopenda vya bure
Naona umemrithi Zamaradi.Show za bure ni za wahuni wa singeli tuu na ni kama darLIVE Ndo Kabisaaaaaa ...
Mbagalaaa