Vishikaran
Member
- Sep 20, 2017
- 8
- 7
Kama kumbukumbu zangu zitakuwa vizuri fiesta haikuwa brand ya clouds bali ilikuwa ya east Africa Kwa udhamini wa sigara ya sm na vanue yake ilikuwa daimond jubilee.
Ruksa kunisahihisha
Maybe am not remembering itFiesta haijawahi kua ya East Aftica.. tangu inaitwa summer jam mpaka kua fiesta iko chini ya clouds
Usikariri...Kumbuka kuna Mwana FA na AY (wana ugomvi pamoja na kesi na Tigo) na kuna timu nzima ya WCB...Ongeza na wasanii waliokuwepo kwenye Tamasha la Muziki Mnene ambao ni Nay wa Mitego, Izzo Business, TID..Chemical, Ruby..Na wasanii wanaotamba na Singeli (kumbuka Dar Singeli ndio nyumbani)...Kwanza kbla ya yote leo wametaja list ya wasanii watakaoimb fiesta,mr blue,vanesa mdee,jux,weusi,be pol,stamina,rma,ali kiba,maua sama, aslay,na bdo list inaendlea sasa swali show ya efm uend kumwangalia msanii gani mda mwngne tjiulize au ndo kna dula makabila,ishu so bure ishu unaenda kumwngalia nani wa maana
Wanamuonea tu kaa wenyewe wapambane na hali zaoNdoo maana Leo karibia watangaz wote wa clouds walikuwa wamekazana na kaa na tabia zao kumbe ilikua kijembe kwa Efm
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hapo pa R.Kelly tutakutana wote shoga
Fiesta ameimba R Kelly, hao clouds Tamasha lao lilikuwa linaitwa Summer Jam.Kama kumbukumbu zangu zitakuwa vizuri fiesta haikuwa brand ya clouds bali ilikuwa ya east Africa Kwa udhamini wa sigara ya sm na vanue yake ilikuwa daimond jubilee.
Ruksa kunisahihisha
Wewe ni mrithi wa Zamaradi?Walianza kutangaza Clouds kuwa Ruge atakua Live kwny vyombo vyao ndo hao TV E wakafuata..! Na hio tarehe 25 toka wiki iliyopita Clouds wanaimba kuwa Fiesta Dar wao wametangaza leo tamasha la bure tar 25 unahisi nani mchokozi?
Mpambano gani unaweka tamasha bure kama wanajiamini na wao waweke kiingilio hapo ndio tutaita Mpambano, Uo ndio umasikini waafrika wengi tumejaliwa..! Kufanikiwa kwa MTU , uwa inatuuma sana...! Wao wanaumia Sana'a wakiona jamaa anavyopiga hela na fiesta yake.!! MSIWE NA AKILI ZA KAATve ni cmpetitor wa clouds, na tve akigangamala atampiga bao clouds.
True man thump up!Fiesta haijawahi kua ya East Aftica.. tangu inaitwa summer jam mpaka kua fiesta iko chini ya clouds
Ngoja nimpe orodha ya wabongo fleva wenye uwezo wa kusepa na kijiji na Clouds imewaweka pembeni kwenye hilo Lifiesta lao,Usikariri...Kumbuka kuna Mwana FA na AY (wana ugomvi pamoja na kesi na Tigo) na kuna timu nzima ya WCB...Ongeza na wasanii waliokuwepo kwenye Tamasha la Muziki Mnene ambao ni Nay wa Mitego, Izzo Business, TID..Chemical, Ruby..Na wasanii wanaotamba na Singeli (kumbuka Dar Singeli ndio nyumbani)...
Tunasema wanachokifanya Tve/ Radio ni fikira za kimasikini sana, na kama wanafikiri ndio ujanja, viongozi wote walio na wanao chekelea hicho kitu wote ni watoto...Hata kama ni Competition hicho wanachotaka kufanya Efm/TVE ni utoto sasa... Kwa style hii maendeleo nchi hii ngumu sana
Inajulikana Fiesta ni brand ya clouds kwa nini usipange ratiba zako tarehe nyingine kama unahamu ya kutupa tamasha la bure? To me that is so low and pathetic! Kama wao ndio walianza kutangaza tarehe basi clouds wasogeze mbele
Kupelekeshwa kwa Tamasha la bure....!? Wenzako wamezunguka nchi nzima we unakuja kujishebedua hapa mjini...!!Efm/tve -- Makonda -- Mlezi WCB
Hapo naanza kuona clouds wanavyopelekeshwa
Ndoto za kimasikini hizi...Waache nao wameze dawa walizokuwa wanawamezesha wenzao, tena ikibidi aletwe msanii toka nje, na hata wakiahirisha na sisi tunaahirisha.
Kama namwona Makonda atakavyoamrisha Fiesta iishe saa 6 huku EFM ikikesha...
Tunazima kiki, tunawasha muziki.
Mkuu niambie wp kwenye muziki mnene wametoza kiingilio? Kila mkoa ilikuwa bure sasa kwann unawalazimisha sasa hv watoze pesa!Mpambano gani unaweka tamasha bure kama wanajiamini na wao waweke kiingilio hapo ndio tutaita Mpambano, Uo ndio umasikini waafrika wengi tumejaliwa..! Kufanikiwa kwa MTU , uwa inatuuma sana...! Wao wanaumia Sana'a wakiona jamaa anavyopiga hela na fiesta yake.!! MSIWE NA AKILI ZA KAA
Fiesta nayo sehemu ya ustaarabu chaaaaYani niende kwenye tamasha la bure nirudi na ngeu???? kwa sisi wapenda burudani na starehe tunapendelea matamasha yenye viingilio tena ikiwezekana bei ikiwa kubwa mana ustaarabu unakuwepo, tunahangaika kutafuta pesa haipaswi kupata mateso wakati wa kuitumia.....wahenga wanasema "bure gharama"
"Daddy is coming"Utasikia bashitee yupo nyuma ya hili suala. Mark my words....
Haaaa haaaaa. ! Wangekuwa na mapafu wangefuata na huko mikoani.! Wawaulize eatv ! Chaliiii..... Tuende mbele turudi nyuma Mawingu in jeshi lililoshiba, mapungufu kila MTU anayo na utofauti. In my life toka 2000 mi ni clouds FM, Habari Radio One.Mkuu niambie wp kwenye muziki mnene wametoza kiingilio? Kila mkoa ilikuwa bure sasa kwann unawalazimisha sasa hv watoze pesa!
Kama unahisi wanachofanya EFM/TVE ni fikra za kimsakini utakuwa unachemka...Tunasema wanachokifanya Tve/ Radio ni fikira za kimasikini sana, na kama wanafikiri ndio ujanja, viongozi wote walio na wanao chekelea hicho kitu wote ni watoto...
Ndoto za kimasikini hizi...