November 25 yagombaniwa, Efm/TvE vs Clouds Media

Haaaa haaaaa. ! Wangekuwa na mapafu wangefuata na huko mikoani.! Wawaulize eatv ! Chaliiii..... Tuende mbele turudi nyuma Mawingu in jeshi lililoshiba, mapungufu kila MTU anayo na utofauti. In my life toka 2000 mi ni clouds FM, Habari Radio One.
EFM wanajitangaza...Mikoani wamefanya matamasha ambako redio yao inasikika..Wamefanya matamasha Pwani, Tanga, Mwanza, Mtwara na Mbeya...Na matamasha haya yamerushwa live na EFM/TVE...Na yote yamehudhuriwa na umati mkubwa...

Tamasha lilifanyika tar 11/11/2017 uwanja wa Sokoine Mbeya ndio limevunja rekodi....

Uwepo wa Majay, Scolla Mazula, Maulid Kitenge, Ibrahim Masoud, Omary Katanga Hermy B, Dickson Ponera, Gerald Hando, Ssebo, Mussa Kipanya , Abel Onesmo na wengine waliopitia redio kubwa ni turufu pale Entertainment Masters
 

Asante kuna watu wanaamini bila clouds huwezi kuwika na bila kuwa Wasafi vilevile huwezi kutusua kimataifa.Mawazo mgando
 

Kuna mdau amejibu kule juu kwamba madukani tu watu wanajazana kuangalia TV tena wanasukumana ,ndo ije kuwa show ya bure ? Hata kama anaimba Gigymoney ,Jumanature burudani ni burudani tu ,pamoja na wasanii pia kuna madj wanatwanga mziki.

Pia hali ngumu saivi we iyo 10,000 sijui 20000 watakayopanga yakiingilio unaiona ndogo lakini wengine ni kubwa sana tena wanalia kodi ya chumba ,sasa watu kama hao plus wanafunzi wakiletewa show ya bure hawawezi kulinga.

Mwisho kabisa wao efm radio/tv wapo kujitangaza ndo pengo kuu na kuitangaza Biko ,kwa hiyo hawana hasara .Wameshafanya show Kigamboni, Tabata, Kawe ,Dar live ,Kimara kote zilijaa watu na tuliona live kwa tv
 
Sawa B 12,wamekusikia
 
Badaam batamwagikaaa...[emoji75][emoji75] Patam hapo
 
Ratiba ya tar 25 Nov.. Zote zitakuwa ni Breaking News

-Mage Kimambi kurudi bongo na kuongea na vyombo vya habari

-Rais wa Jamhuri ya Tanzania kumtumbua Paul Makonda

-Tundu Lissu kuwasili uwanja wa kimataifa wa KIA. Na kupokelewa na maelfu ya wananchi.

-Zito Kabwe kutangaza rasmi kujiunga na chama tawala Ccm.....

-Robert Mugabe angwatuka madarakani





























































































































































































(jokes)
 
alikiba alitoa nyimbo siku hiyo hiyo wcb na wakatoa nyimbo ila mkasema ndio biashara ilivyo(competition) .

Leo anafanyiwa clouds mnasema akili za kimaskini/roho mbaya/ na majina yote mliyowaita TVE/EFM

Povu ruksa
 
Nawengine tunaweka tamasha la nyimbo za injili( Gospel music Concert ) siku hiyo hiyo, nimesikia kuwa wasambaa watakuwa na ngoma ya mdumange na kiingilio bure kwa wasambaa wote, kama sio msambaa unaingia kwa buku jero
Yetate-nanee, Mghoshi ijo dumange wajidumuia hi? Tiin'ke venue!!
 
Mkuu mie ni mhenga nimepita umri wa kurukaruka kwenye matamasha lakini kabla ya kuwapa tuhuma hao jamaa WAZEE BURE ningependa uangalie uwezo wa leaders club kuchukua mashabiki pia na uwezo wa venue ya WAZEE WA BURE kisha kuangalia idadi ya vijana waliopo Dar na maeneo ya jirani. Utagundua kwamba wateja ni wengi kikubwa kila upande kufanya matangazo ya uhamasishaji tu ili wahusika waelewe
 
Mlikua mnalaumu clouds kubania wanamuziki wasioukubali kupiga show zao,njia mojawapo kuweka tamasha pingani.
Acheni panzi wapambane tu,kwanza ndio kukua kwenyewe kwa tasnia ya burudani
Clouds hawatapungukiwa chochote hata wakikosa watu,wameshachota mpunga wao kutoka kwa wadhamini,ila wajifunze kiburi si maungwana
 
Nawengine tunaweka tamasha la nyimbo za injili( Gospel music Concert ) siku hiyo hiyo, nimesikia kuwa wasambaa watakuwa na ngoma ya mdumange na kiingilio bure kwa wasambaa wote, kama sio msambaa unaingia kwa buku jero
Mkuu naomba location ya kwa wasambaa wenzangu nikacheze mdumange
 
Hiyo ni fursa kwa e-fm kuweza kujibrand. Tumia pesa upate pesa...Thatc marketing
 
Haaaa haaaaa. ! Wangekuwa na mapafu wangefuata na huko mikoani.! Wawaulize eatv ! Chaliiii..... Tuende mbele turudi nyuma Mawingu in jeshi lililoshiba, mapungufu kila MTU anayo na utofauti. In my life toka 2000 mi ni clouds FM, Habari Radio One.
Kila mkoa wanaosikika wamefanya muziki mnene hiyo mengine hawakwenda sababu bado hawajaanza kusikika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…