Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
EFM wanajitangaza...Mikoani wamefanya matamasha ambako redio yao inasikika..Wamefanya matamasha Pwani, Tanga, Mwanza, Mtwara na Mbeya...Na matamasha haya yamerushwa live na EFM/TVE...Na yote yamehudhuriwa na umati mkubwa...Haaaa haaaaa. ! Wangekuwa na mapafu wangefuata na huko mikoani.! Wawaulize eatv ! Chaliiii..... Tuende mbele turudi nyuma Mawingu in jeshi lililoshiba, mapungufu kila MTU anayo na utofauti. In my life toka 2000 mi ni clouds FM, Habari Radio One.
Tamasha lilifanyika tar 11/11/2017 uwanja wa Sokoine Mbeya ndio limevunja rekodi....
Uwepo wa Majay, Scolla Mazula, Maulid Kitenge, Ibrahim Masoud, Omary Katanga Hermy B, Dickson Ponera, Gerald Hando, Ssebo, Mussa Kipanya , Abel Onesmo na wengine waliopitia redio kubwa ni turufu pale Entertainment Masters