Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,374
- 1,201
Hakuna wa kumshinda clouds labda wa kushindana nae! [emoji4]Tve ni cmpetitor wa clouds, na tve akigangamala atampiga bao clouds.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wa kumshinda clouds labda wa kushindana nae! [emoji4]Tve ni cmpetitor wa clouds, na tve akigangamala atampiga bao clouds.
kumbe una akili timamu..unanichefuaga tu unapoanza cheap politicsMimi kamakawa ...nakula bia kibo complex Tegeta hadi saa sita then naenda kuruka majoka( strictly Old Skool) kwa John Dilinga Club Legends (zamani nyumbani lounge) ....hizo mambo zingine nilishasahau toka enzi za Summer Jam Slipway .....
Mkuu Clouds wanabebwa kivipi?,hawalipi kodi?.Je Efm/Etv nao wanabebwa na Makonda?.Clouds wamejenga platform ambavyo hata serikali inaona itawasaidia kutekeleza mipango yao.Kwahiyo unaweza kusema wanabebana.Nyinyi ndo mnaofanya Ruge asurubiwe , hawashindwi sababu miaka yote walibebwa na serikali kuliko hata redio au tv ya taifa ,sasa huo upendo wanaanza kugawana na wenzao wanalalamika.
Jide ni umri tu maana kwasasa hawezi kuanza kuimba na kucheza kama Vanessa ,Maua au Nandy .Lakini bado Jide akiandaa show pekee atajaza kuliko hao Vanessa,Maua na Nandy kwa pamoja. Ukitoa Diamond na Alikiba ,Jide anafuata popote atapofanya show kujaza inamaana bado anapendwa.
Mkuu Clouds wanabebwa kivipi?,hawalipi kodi?.Je Efm/Etv nao wanabebwa na Makonda?.Clouds wamejenga platform ambavyo hata serikali inaona itawasaidia kutekeleza mipango yao.Kwahiyo unaweza kusema wanabebana.
Swali ni je media nyingine zinafanya nini kuvutia wadau mbali mbali pamoja na serikali?.Lakini niwapongeze Efm/Etv,ukiwaangalia kwa undani wanajibanza kwa Clouds ili nao wotoke.
Clouds inawatesaje wasanii?Nawapenda tve kwa graphics zao na vipindi vyao...ila clouds bado ni best to none.
Naomba siku hiyo wote wafanye show,tuone ushindani wake.
TvE watapunguza monopoly ya Clouds kwenye entertainment industry,mambo ya kuwatesa wasanii kama Ustaadh Juma na Musoma alivyomzalilisha PNC yafike mwisho.
Mbona yeye Ruge alikuwa kaa kwa akina Rubby Jide Sugu n. K?yani tusiwe na tabia ya kaa,mfano
kaa ukimuweka mwenyewe kwenye ndoo hufiki mbali utamkuta ametoka nje ya ndoo ila ukimuweka na wenzake hawezi kutoka kwa sababu wenzake wanamvuta arudi kwenye ndoo
nadhani mpaka hapo utakua umemuelewa ruge
Ndio wapi huko jamansogea kwa minchi
ukiwa unaingia tanga mjini kuna round about ukikata kushoto waenda kisosora ukiizunguka waenda tanga mjini na ukiizunguka tena unaenda ofisi za mkuu wa mkoa sasa pembeni ya huo mzunguko hapo kuna kituo cha polisi kinaitwa kwa minchi na eneo lote ilo linaitwa ivyo........nna wasiwasi we tanga si mwenyejiNdio wapi huko jaman
Anatokea mkoa wa Tanga, ila inaweza kuwa kilindi, lushoto pangani, sasa kuijua Tanga mjini vizuri lazima uwe umeishi hapoukiwa unaingia tanga mjini kuna round about ukikata kushoto waenda kisosora ukiizunguka waenda tanga mjini na ukiizunguka tena unaenda ofisi za mkuu wa mkoa sasa pembeni ya huo mzunguko hapo kuna kituo cha polisi kinaitwa kwa minchi na eneo lote ilo linaitwa ivyo........nna wasiwasi we tanga si mwenyeji
hapo tanga ni wilaya mbili tu ndio sijakanyaga nazo ni handeni na lushoto muheza nimevuruga tanga mjini nimevuruga korogwe nimevurugaAnatokea mkoa wa Tanga, ila inaweza kuwa kilindi, lushoto pangani, sasa kuijua Tanga mjini vizuri lazima uwe umeishi hapo
Ahahhaha me mwenyewe milimani hukoukiwa unaingia tanga mjini kuna round about ukikata kushoto waenda kisosora ukiizunguka waenda tanga mjini na ukiizunguka tena unaenda ofisi za mkuu wa mkoa sasa pembeni ya huo mzunguko hapo kuna kituo cha polisi kinaitwa kwa minchi na eneo lote ilo linaitwa ivyo........nna wasiwasi we tanga si mwenyeji
Kama program ganMkuu EFM unawajua lakini?
Hebu angalia toka wameanza mpaka hapa walipofika!
Imefikia mahali Mawingu wanakopi kwa jamaa hawa program kibao.
Kama program gan