Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Weka screenshot ya salio tuhakikishe. Nakuwekea screenshot yangu ya mwaka jana, sasa hivi nimeshaongeza sana mtaji. Na wewe weka yakwako tupate kuwa motivated.



malembeka18 Englishlady macho_mdiliko hata sasa hivi utt inawekeza kwa kuikopesha serikali. Hakuna namna serikali inaweza kuchota fedha huko.

Kuogopa hapa ni sawa na kusema serikali inaweza kuja kwenye akaunti yako ya benki na kuchukua hela.

Msimamizi wa utt ni crdb bank na kila mwaka kuna mkutano na ripoti ya ukaguzi inatolewa.
 
Hongera sana
Hongera sana, inaonekana upo kwenye kazi yenye mshahara mkubwa, mana kwa haraka haraka ni unasave 1.2M min kila mwez
 
Hongera sana
 
Hongera sana

Hongera sana, inaonekana upo kwenye kazi yenye mshahara mkubwa, mana kwa haraka haraka ni unasave 1.2M min kila mwez
Nilianza na mshahara wa kawaida sana. Consistency ilinijengea misuli ya kusave nikawa addicted kusave na ku invest. Kwa sasa mshahara wangu una
 
Mbona Sasa mifuko kama nnsf,nhif pesa za wanachama wameikopesha serikali na serikali haijawalipa na wanachama mabaki kuhangaika tu
 
Mkuu nguo Gani unauza zakukupa faida ya m40
 
Nimeipenda hii
 
Baada ya kuufuatilia huu uzi kwa ukaribu. Nimejilipua, nilikua na kaakiba bank kama 20M hakazai chochote, nimekatoa nimekaweka pale UTT kwenye mfuko wa Ukwasi, ngoja tuone itakuaje.
Hakikisha unapakua app yao, inaitwa UTT AMIS ili uone faida zinavyowekwa kila siku

Walau itakutia moyo wa kuikimbiza kila senti yako unayopata
 
Hiyo hela unanunua kichwa Cha Scania matata.
Kwenye huu uzi kuna makundi ma3
1. Wenye ya hela (japo ya kudunduliza)lakini hawana nafasi na muda kufanya biashara hasa waajiriwa
2. Wenye hela na wenye nafasi ya kufanya na kusimamia (wajasiriamali)
3. Wasio na hela lakini wana muda

Mawazo yanagongana kwa sababu kila mtu kasimama kwenye angle yake

Fikiria mfanyakazi wa benki anaeingia kazini saa 1 asb na kutoka saa 2 usk hicho kichwa cha scania anaenda kukifanyia nini na kwa muda upi

So upo sahihi lkn kutokea upande ulikosimama
 
Big up sana

Ulipata exposure mapema sana

Na una akili sana na una discipline kubwa sana
 
Mbona Sasa mifuko kama nnsf,nhif pesa za wanachama wameikopesha serikali na serikali haijawalipa na wanachama mabaki kuhangaika tu
Hamna kitu kama hicho. Wanaozungushwa ni wale wa psssf ambao walikuwa wafanyakazi wa serikali. Iko hivi, serikali inapaswa kupeleka michango ya wafanyakazi wake kila mwezi. Sasa kinachotokea ni kwamba haipeleki.

Ikifika muda mfanyakazi anastaafu ndio wanaanza kutafuta hela ziingizwe kule ndio alipwe. Hivihivi wanafanya kwa nhif. Sasa haya wala hayatokei kwa watu wanaofanya kazi sekta binafsi kwasababu michango yao inapelekwa nssf.

Serikali haiwezi kuzichukua huko labda kama nssf wenyewe waikopeshe serikali kwa kununua bonds. Hizi lazima zilipwe zikishaiva. Hakuna serikali duniani inayodefault kwenye bonds kwasababu ni sawa na kusema imefilisika.

Besides, mara nyingi mafao yanacheleweshwa kwa urasimu wa watu na sio kwamba hela hazipo. Mimi wazazi wangu wote wamestaafu kutokea serikalini na walilipwa hela zao ndani ya miezi sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…