Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Kwaiyo unataka kusema kununua bond za serikali ni Bora zaid ya utt
 
Ungechagua mpango wa kukuza mtaji ndo nzuri Zaidi pesa ingekua inajizalisha kwa compound interest ungeset time frame may 5 or 6 or 10 years ya kukuza mtaji ungefika 100M plus
 
Hongera sana mkuu, uko kwenye mwelekeo sahihi kabisa. 👌
 
Mmiliki wa UTT kama taasisi ni Serikali. Kazi ya UTT ni kupokea mitaji, kuiwekeza kulingana na taaluma ya uhasibu kwa faida ya mwekezaji. Huhitaji kuwa na mamilioni kuanza uwekezaji huko, unaweza kuanza na 10,000 ukajifunza taratibu masuala ya fedha na uwekezaji.
 
Naomba mnisaidie kujua,UTT mbali na faida ya inayoongezeka siku za kazi,je kuna faida nyingine yoyote inayotolewa kila Mwisho wa Mwezi?

Sent from my SM-A137F using JamiiForums mobile app
 
UTT ina mifuko zaidi ya mitano na kila mmoja unalenga kundi lenye malengo tofauti ya uwekezaji. Iko mifuko ambayo ukiwekeza, mbali ya uwekezaji wako kuongezeka thamani, bado unaweza kuchukua gawio, iwe kwa mwezi au kila ya miezi sita. Fika ofisi za UTT, ambazo hivi sasa zimegawanywa kikanda ili upate ufahamu kwa kina.
 
Vip kuhusu kukopa hela bank kwa dhamana ya hela zako zilizopo UTT hii kitu inawezekana???
 
Inawezekana kama hawakubadilisha kanuni. Kuna wakati mwekezaji aliruhusiwa kupata mkopo hadi 80% ya kiwango cha utekelezaji wake.
 
English teacher vs Finance Teacher
One good in English
One good in investments

Damn
 
Mkuu mimi nina swali.
Mfano nikiweka 10M nina uwezo wa kuchukua mkopo kwa kutumia hizo Bond?
Nikichukua mkopo payment inakua kwa utaratibu gani??
 
Unaweza chukua mkopo Hadi 80% ya pesa yako uliyoweka UTT. Ukishaweka pesa zako UTT utapewa certificate ambayo itaonyesha kiasi chako cha pesa ambzo zitastand as collateral kwenye benki yoyote
 
Mfano ukiweka mil 10, ukachukua 80% ambayo ni 8M , malipo ya huo mkopo yanakuaje? Unalipa mwenyewe kila mwezi ?
 
Gentleman1 hongera sana kwa huu uthubutu. Kiukweli ulifanya maamuzi magumu and few can match this. Kila lenye Heri. Mwenyezi Mungu akutangulie katika mipango yako. Naamini ukiendelea na hii approach, you will hit a billion…by 2030, na hapo sasa ndo kweli utastaafu at 42 comfortably.
Wengi tuna la kujifunza kwako. Asante kwa kushare experience yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…