Now PariMatch: Diamond platnumz ni king of endorsements Tanzania.

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
908
Reaction score
1,350
Wakuu Habari!!

Habari inayotrend katika intertainment industry ni Diamond platinumz kusaini deal Kama ambassador wa PariMatch.

Sisi Kama vijana Inabidi tuache majungu na tuige kwa watu waliofanikiwa na kuongoza kwa mifano,

kwa Tanzania katika tasnia ya muziki bila Shaka Diamond platinumz anaongoza kwa mifano na hana mfano.

Mpaka sasa hapa tz,makampuni binafsi na taasisi za serikali zinapohitaji celebrity mkubwa wa kutangaza bidhaa zao basi Huyu bwana mkubwa Diamond platinumz,lazima anakuepo kwenye shortlist,then anakuwa na chance kubwa ya kuibuka option no.1

Pamoja na kwamba hater's wanajitahidi kuchallenge jamaa asifikie mafanikio na malengo yake,
lakini jamaa naona ni Kama anaongezewa hatua zaidi.

Leo PariMatch kampuni ya betting imesign na imemtangaza Diamond Platnumz kama balozi wao mpya.
 
Akanunue mansion Baverly hill kama AY ndio tujue halipwi pesa za madafu
 
Ukiachana na hilo anampango wakuinvest kwenye soka baada ya kushauriwa na etoo na drogba walivyokutana ufaransa yakutoa connection ya wachezaji wa wakitanzania kuwawezesha kucheza nje ya nchi na akaambiwa pia atafute ofisi na nyumba ufaransa na huo mpango ameanza mwaka huu soon atatambulisha baada ya kumaliza process nzima amesema hayo Kwenye hiyo hiyo conference akitambulishwa Kama ambassador.
 
Wasanii wengine wajifunze kwa diamond namna ya kujibrand katika ukubwa ndo maana diamond anapata dili kubwa tena zenye hela Hadi Sasa ni ambassador wa kinyonyaji Cha ufaransa Bellaire,Vodacom,pepsi, company moja ya maji,utalii wa Tanzania, Emirates airlines,Tacaids n.k mwaka Juzia alikuwa ambassador wa kutanganza utalii wa south Africa na ukijumlisha na show 34 alizofanya nje ya nchi Hadi Sasa hiv + viewers wengi aliyopata Kwenye nyimbo zake unaona jinsi gani pesa nyingi anazopiga ndomaana sishangai huyu kijana anapokuwa anagawa hela kwa watu
 
Akanunue mansion Baverly hill kama AY ndio tujue halipwi pesa za madafu
Mkuu hapa Hakuna mtu aliesema diamond ana hela,
na sidhani Kama mtu kununua nyumba huko baverly hill ndio kipimo cha kuwa na hela,
kuna mastaa wengi tu wanaishi na raia wa pale USA wanapesa za kutisha
lakini hawaishi hapo,
ambao huyo Ay wamemwacha kifedha Kama mbingu na ardhi,
kila mmoja na matumizi yake.
 
Itakuwa ni project nzuri kwa vijana wa kitanzania,mungu asaidie wapatikane Kama kina diamond 20,tutafika mbali katika Sanaa na michezo.
 
Points only,jamaa ananipa hasira Sana za kupambana na Mimi nije kumiliki billions of dollars,japo kuna vikwazo vingi on the way Kama jamaa anavyofanyiwa na baadhi ya media.
 
Points only,jamaa ananipa hasira Sana za kupambana na Mimi nije kumiliki billions of dollars,japo kuna vikwazo vingi on the way Kama jamaa anavyofanyiwa na baadhi ya media.
Na wewe utakuwa msanii au utakuwa bilionea kwa njia ipi
 
Wasanii wengine ndo wajifunze kwa diamond mana naona wengi wanapata nafasi lakini wanafanya kazi kimazoea diamond yupo tayari kumlipa msanii wa nigeria pesa wafanye kolabo
 
Kapatikana kopi yake harmonize cha ajabu badala raia wamsapoti ndio kwanza wanamponda kisa tu kajitoa wcb........
Kinachotuponza kila siku ni ubinafsi wa kutaka atoboe mmoja tu...
Itakuwa ni project nzuri kwa vijana wa kitanzania,mungu asaidie wapatikane Kama kina diamond 20,tutafika mbali katika Sanaa na michezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…