Now PariMatch: Diamond platnumz ni king of endorsements Tanzania.

Ukiachana na hilo anampango wakuinvest kwenye soka baada ya kushauriwa na etoo na drogba walivyokutana ufaransa yakutoa connection ya wachezaji wa wakitanzania kuwawezesha kucheza nje ya nchi na akaambiwa pia atafute ofisi na nyumba ufaransa na huo mpango ameanza mwaka huu soon atatambulisha baada ya kumaliza process nzima amesema hayo Kwenye hiyo hiyo conference akitambulishwa Kama ambassador.

Dah, kama ndio hivyo itabidi niache gongo nianze mazoezi. Hiyo ndiyo michongo yenyewe ya kuchezea PSG.
 
Na wewe utakuwa msanii au utakuwa bilionea kwa njia ipi
Nyingi tu mkuu,now ninataka Kuanzisha large scale agriculture,mashamba tayari nimepata just kufika mwezi wa 12 itakuwa mambo ni moto.
 
Kapatikana kopi yake harmonize cha ajabu badala raia wamsapoti ndio kwanza wanamponda kisa tu kajitoa wcb........
Kinachotuponza kila siku ni ubinafsi wa kutaka atoboe mmoja tu...
True chief.
 
Hongera lakini epuka ngono zembe Apo utafaulu ni ushauri ni tu sio lazima ufuate
 
Kapatikana kopi yake harmonize cha ajabu badala raia wamsapoti ndio kwanza wanamponda kisa tu kajitoa wcb........
Kinachotuponza kila siku ni ubinafsi wa kutaka atoboe mmoja tu...
Watanzania matatizo yetu yanaanzia kwenye familia. Kwenye familia mmoja akifanikiwa hataki mwenzake afanikiwe sababu atamfunika. Hata wazazi wapo wasiotaka watoto wao wawazidi.
Watanzania roho mbaya tu ndio yatusumbua
 
Diamond ni fighter, huyo mwamba mi nishampigia salute kitambo, jamaa ana juhudi sana somtyme anayotafanya inahitaji kujitoa mhanga, haters wanatakiwa wawepo ili wamboost zaid
 
Kapatikana kopi yake harmonize cha ajabu badala raia wamsapoti ndio kwanza wanamponda kisa tu kajitoa wcb........
Kinachotuponza kila siku ni ubinafsi wa kutaka atoboe mmoja tu...
WCB = Tangu lini W ikawa C, au B? Diamond ni Diamond tu, haifanani na chupa.
 
Points only,jamaa ananipa hasira Sana za kupambana na Mimi nije kumiliki billions of dollars,japo kuna vikwazo vingi on the way Kama jamaa anavyofanyiwa na baadhi ya media.
Billions of dollars usiitamke tu ukadhani ni kitu ya mchezo jombaa,hiyo 1 billion dollar kibongobongo anayo mtu mmoja na yeye karithi kwa wazazi wake..
 
It's possible mkuu,japo kuitaja ni ishu.
Billions of dollars usiitamke tu ukadhani ni kitu ya mchezo jombaa,hiyo 1 billion dollar kibongobongo anayo mtu mmoja na yeye karithi kwa wazazi wake..
 
Nyingi tu mkuu,now ninataka Kuanzisha large scale agriculture,mashamba tayari nimepata just kufika mwezi wa 12 itakuwa mambo ni moto.
Usipende kuropoka mipango yako mizuri kama hiyo na mara nyingi haitafanikiwa, shauri yako, fanya kwanza itajitangaza yenyewe
 
Aiseee ok but take back your dirty word's.
 
Back
Top Bottom