Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,274
- 12,244
Hahahahahahahahah nilitaka kushangaa upite hivi hivi kweli.Misukule kazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahahah nilitaka kushangaa upite hivi hivi kweli.Misukule kazini
Ningeshaa nisingekuta comment yako.
Hahahahahahahahah nilitaka kushangaa upite hivi hivi kweli.
Ukiachana na hilo anampango wakuinvest kwenye soka baada ya kushauriwa na etoo na drogba walivyokutana ufaransa yakutoa connection ya wachezaji wa wakitanzania kuwawezesha kucheza nje ya nchi na akaambiwa pia atafute ofisi na nyumba ufaransa na huo mpango ameanza mwaka huu soon atatambulisha baada ya kumaliza process nzima amesema hayo Kwenye hiyo hiyo conference akitambulishwa Kama ambassador.
Hongera lakini epuka ngono zembe Apo utafaulu ni ushauri ni tu sio lazima ufuateNyingi tu mkuu,now ninataka Kuanzisha large scale agriculture,mashamba tayari nimepata just kufika mwezi wa 12 itakuwa mambo ni moto.
Ww nani?pepo au popo bawa?
Ay kaongwa yuleAkanunue mansion Baverly hill kama AY ndio tujue halipwi pesa za madafu
Watanzania matatizo yetu yanaanzia kwenye familia. Kwenye familia mmoja akifanikiwa hataki mwenzake afanikiwe sababu atamfunika. Hata wazazi wapo wasiotaka watoto wao wawazidi.Kapatikana kopi yake harmonize cha ajabu badala raia wamsapoti ndio kwanza wanamponda kisa tu kajitoa wcb........
Kinachotuponza kila siku ni ubinafsi wa kutaka atoboe mmoja tu...
WCB = Tangu lini W ikawa C, au B? Diamond ni Diamond tu, haifanani na chupa.Kapatikana kopi yake harmonize cha ajabu badala raia wamsapoti ndio kwanza wanamponda kisa tu kajitoa wcb........
Kinachotuponza kila siku ni ubinafsi wa kutaka atoboe mmoja tu...
Billions of dollars usiitamke tu ukadhani ni kitu ya mchezo jombaa,hiyo 1 billion dollar kibongobongo anayo mtu mmoja na yeye karithi kwa wazazi wake..Points only,jamaa ananipa hasira Sana za kupambana na Mimi nije kumiliki billions of dollars,japo kuna vikwazo vingi on the way Kama jamaa anavyofanyiwa na baadhi ya media.
WCB = Tangu lini W ikawa C, au B? Diamond ni Diamond tu, haifanani na chupa.
Usipende kuropoka mipango yako mizuri kama hiyo na mara nyingi haitafanikiwa, shauri yako, fanya kwanza itajitangaza yenyeweNyingi tu mkuu,now ninataka Kuanzisha large scale agriculture,mashamba tayari nimepata just kufika mwezi wa 12 itakuwa mambo ni moto.