Nedago
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 908
- 1,350
Wakuu Habari!!
Habari inayotrend katika intertainment industry ni Diamond platinumz kusaini deal Kama ambassador wa PariMatch.
Sisi Kama vijana Inabidi tuache majungu na tuige kwa watu waliofanikiwa na kuongoza kwa mifano,
kwa Tanzania katika tasnia ya muziki bila Shaka Diamond platinumz anaongoza kwa mifano na hana mfano.
Mpaka sasa hapa tz,makampuni binafsi na taasisi za serikali zinapohitaji celebrity mkubwa wa kutangaza bidhaa zao basi Huyu bwana mkubwa Diamond platinumz,lazima anakuepo kwenye shortlist,then anakuwa na chance kubwa ya kuibuka option no.1
Pamoja na kwamba hater's wanajitahidi kuchallenge jamaa asifikie mafanikio na malengo yake,
lakini jamaa naona ni Kama anaongezewa hatua zaidi.
Leo PariMatch kampuni ya betting imesign na imemtangaza Diamond Platnumz kama balozi wao mpya.