NRNE no reforms no election ni mapinduzi ya kifikra na kisiasa watawala mjitafakari

Mwana kondoo 2025

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2025
Posts
495
Reaction score
580
Huu upepo wa No reform No election ni mkubwa na una nguvu umeshika kasi kwa wananchi. Hii ni "ideology" na ni ajenda ambayo wananchi wanaielewa kwa urahisi kutokana na yaliyoonekana kwenye chaguzi zilizopita na hususani uchaguzi wa 2024. Ninashauri Serikal8 yangu tukufu ifanye marekebisho ya msingi kwenye katiba kuhusiana na Tume ya uchaguzi na sheria zake angalau marekebisho madogo. mjadala huu umevuka kiwango cha udhibiti hakuna namna. Viongozi wa dini na mashirika yasiyo ya kiserikali ndani na nje ya nchi yameshauri hivyo. Hii ni pamoja na baadhi ya viongozi wa CCM ndani. Tusidharau kwa jeuri na mazoea. Mikutano ya Chadema imekuwa ni LITMUS TEST.
 
Fikra za kufanya uasi na kukimbia uchaguzi
 
Gentleman,
ni kupoteza muda kutafakari nonsense 🐒
 
KWA LUGHA NYINGINE HUU NDO UHAINI ANSOFANYA LISSU NA CHADEMA.
 
Back
Top Bottom