Nsajigwa: Mamelodi Sundowns hakuna wanachoizidi Yanga

Nsajigwa: Mamelodi Sundowns hakuna wanachoizidi Yanga

#KIPENGA: ''Kwenye eneo la ulinzi ni eneo ambalo Aubrey Modiba kutokea Mamelodi anacheza na kitu ambacho Aubrey Modiba anamzidi Bacca sijakiona kwa sababu Bacca amekuwa na muendelezo mzuri wa kufanya vizuri kwenye matukio hasa hii ya Michezo mikubwa ni ngumu sana kumuona Bacca anafanya makosa yanalopelekea goli'' - @nsajigwa_senior Via Kipenga

#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #Michezo #KipengaXtra #HainaKuchoka

Makolo mkihitajika nusu final mtaitwa[emoji23][emoji113]....by doto magali.

View attachment 2941850
Huyu huyu bacca aliyekuwa akilipwa 1.5m kwa mwezi?
 
Na ndio maana mkasajili wazinzi na walevi?

[emoji196][emoji196] mruke kichura [emoji196]tu huko NBCPL mambo ya soka la kimataifa waachieni wana lunyasi, [emoji196][emoji196]bado sana.
Imagine kolo fc yupo champions league...Kwa mgongo wa Yanga....
 
Huyu huyu bacca aliyekuwa akilipwa 1.5m kwa mwezi?
Yaaah mkuu

Ngoja nikupe shule kwanza .... vijana wengi humu .... mlikimbia shule na umande

According to herzberg two factor theory .....state that ....there two things that motivate a person

Intrinsic motivation.....( Motivation within an individual....mfano wa bacca ....japo analipwa kidg....ila yupo willingly kuendelea kucheza

Extrinsic motivation....out of an individual
 
CAFCL ni nyumbani kwa wana lunyasi, [emoji196][emoji196]mmechungulia huko kwa msaada wa mnyama, [emoji196][emoji196]bado sana kufikia viwango vya mnyama
Sahihi mkuu...bila Yanga Simba.... angekuwa shirikisho
 
Back
Top Bottom