Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Kwamba unasubiri ni R.I.P uanze kutaka kunifahamu.......kwa nini usitake tufahamiane saa hizi.....we kama unataka kumfahamu Preta mPM.....mfanye miadi mkutane......sio nikiGO....muanze kuweka picha zangu humu na kuanza kusema....oooh maskini Preta....mara...mbona kinene kama tufe.....sitaki nasema....na sitaki mazoea......ngoja mtu aweke picha yangu ndio atanifehemu......
Nadhani nimeeleweka........
Nadhani nimeeleweka........