Nshasema sitaki......

Nshasema sitaki......

Kwamba unasubiri ni R.I.P uanze kutaka kunifahamu.......kwa nini usitake tufahamiane saa hizi.....we kama unataka kumfahamu Preta mPM.....mfanye miadi mkutane......sio nikiGO....muanze kuweka picha zangu humu na kuanza kusema....oooh maskini Preta....mara...mbona kinene kama tufe.....sitaki nasema....na sitaki mazoea......ngoja mtu aweke picha yangu ndio atanifehemu......
Nadhani nimeeleweka........
Hivi nawewe Preta huwa unarest in Peace mara nyingi au ndio unataka kuanza?
 
Last edited by a moderator:
Preta mi miadi yangu yote huwa unaipiga chini eti kwa vile mi nina hela ya madafu tuu wakati wewe unataka dollare na paund na uro
Ngoja nizichange nikifanikiwa kabla hujaresti in pisi nitaufufua mwaliko
 
Last edited by a moderator:
Ni vema umeweka wazi unapenda sana PM Preta.....haya ingia ndani tupange miadi...preferred venue club ile mpya pale..usiitaje jina:shut-mouth:
 
Last edited by a moderator:
dhati iz ageinst JF rulz...ushawahi kuona MOD anapigwa BAN, donti pleyi wisi faya aisee
Huku hakuna anayekuja wako zao kwenye siasa ndio maana wameniachia rungu halafu wananiamini sana aisee sio km Mod wengine wana migogoro na wateja(Nyinyi) kila siku yan malalamiko kila kona lol
 
Hivi Erickb52 una ugonjwa wa kupenda eehh maana kila mwanamke umuonane humu ni mkeo au we ni joka la kibisa lisilo na meno maana unaowapenda wote bado wanatushobokea
 
Last edited by a moderator:
Preta mi miadi yangu yote huwa unaipiga chini eti kwa vile mi nina hela ya madafu tuu wakati wewe unataka dollare na paund na uro
Ngoja nizichange nikifanikiwa kabla hujaresti in pisi nitaufufua mwaliko
..duh..na wewe uko katika mbio za vijiti..?
 
mtu chake naona zamu yangu haijafika na kijiti nitakipokea wakati anakaribia kurest in pisi aise maana sioni dalili
 
Last edited by a moderator:
Preta nilikuwa najua watatokea watu kama Erickb52 ndio maana nikatoa angalizo mapema kuhusu miadi yetu...bado watatokea wengine......subiri:coffee:
 
Back
Top Bottom