Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nawewe Preta huwa unarest in Peace mara nyingi au ndio unataka kuanza?Kwamba unasubiri ni R.I.P uanze kutaka kunifahamu.......kwa nini usitake tufahamiane saa hizi.....we kama unataka kumfahamu Preta mPM.....mfanye miadi mkutane......sio nikiGO....muanze kuweka picha zangu humu na kuanza kusema....oooh maskini Preta....mara...mbona kinene kama tufe.....sitaki nasema....na sitaki mazoea......ngoja mtu aweke picha yangu ndio atanifehemu......
Nadhani nimeeleweka........
Nimejibu badala yake....soma then nijulishe siunajua leo tiGO wamegoma halafu mekumiss aiseembona hujibu pm yangu???? nshachoka kusubiri ati.....
...daha huyu. Preta duh....Hahahahaaaa ukimPM naileta huku jukwaa la wote ukome kutongoza wake zangu..jaribu uone utakavyoaibika mwee
Hahahahaaaa ukimPM naileta huku jukwaa la wote ukome kutongoza wake zangu..jaribu uone utakavyoaibika mwee
Huku hakuna anayekuja wako zao kwenye siasa ndio maana wameniachia rungu halafu wananiamini sana aisee sio km Mod wengine wana migogoro na wateja(Nyinyi) kila siku yan malalamiko kila kona loldhati iz ageinst JF rulz...ushawahi kuona MOD anapigwa BAN, donti pleyi wisi faya aisee
..duh..na wewe uko katika mbio za vijiti..?Preta mi miadi yangu yote huwa unaipiga chini eti kwa vile mi nina hela ya madafu tuu wakati wewe unataka dollare na paund na uro
Ngoja nizichange nikifanikiwa kabla hujaresti in pisi nitaufufua mwaliko
Nimejibu badala yake....soma then nijulishe siunajua leo tiGO wamegoma halafu mekumiss aisee