Nshasema sitaki......

Nshasema sitaki......

Preta mi miadi yangu yote huwa unaipiga chini eti kwa vile mi nina hela ya madafu tuu wakati wewe unataka dollare na paund na uro
Ngoja nizichange nikifanikiwa kabla hujaresti in pisi nitaufufua mwaliko

nimeona foreni karensi ntakaa sana......we tupange miadi na hizo hizo madafu.....
 
Last edited by a moderator:
Preta nilikuwa najua watatokea watu kama Erickb52 ndio maana nikatoa angalizo mapema kuhusu miadi yetu...bado watatokea wengine......subiri:coffee:

huyo Erickb52 anapajua.....ngoja nikuPM pahala pengine.....halafu ikawaje tena....mbona hukutokea.....?
 
Last edited by a moderator:
dah...nilikuwa njian kuja....ghafla nikapata dharura ikanilazimu kurudi kibaruani. ila nimeona mafanikio ya kikao na mikakati....
huyo Erickb52 anapajua.....ngoja nikuPM pahala pengine.....halafu ikawaje tena....mbona hukutokea.....?
 
Kwamba unasubiri ni R.I.P uanze kutaka kunifahamu.......kwa nini usitake tufahamiane saa hizi.....we kama unataka kumfahamu Preta mPM.....mfanye miadi mkutane......sio nikiGO....muanze kuweka picha zangu humu na kuanza kusema....oooh maskini Preta....mara...mbona kinene kama tufe.....sitaki nasema....na sitaki mazoea......ngoja mtu aweke picha yangu ndio atanifehemu......
Nadhani nimeeleweka........

Thats true mkuu umeeleweka naku pm sasa hv.
 
Nakusalimia Preta,mzima pande za huko Ar,
Kuna mtu nataka nikutambulishe kwake ila
kama una wivu itanibidi nisitishe zoezi......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom