Kwamba unasubiri ni R.I.P uanze kutaka kunifahamu.......kwa nini usitake tufahamiane saa hizi.....we kama unataka kumfahamu Preta mPM.....mfanye miadi mkutane......sio nikiGO....muanze kuweka picha zangu humu na kuanza kusema....oooh maskini Preta....mara...mbona kinene kama tufe.....sitaki nasema....na sitaki mazoea......ngoja mtu aweke picha yangu ndio atanifehemu......
Nadhani nimeeleweka........
Kwenye red sijakuelewa,,,, kwani unakaribia kufa?
...kwenye black..nimecheka sana ..
nashangaa....halafu mwambie asinizoeee.......
halafu wewe......nani anaumwa......?
...eeeh..Nini kikuchekeshacho wakati mwenzako anatafuta Videti kabla hajaresti in Pisi?
...hahahahahahaha..nani kakuzoea sasa...nashangaa....halafu mwambie asinizoeee.......