Preta mi miadi yangu yote huwa unaipiga chini eti kwa vile mi nina hela ya madafu tuu wakati wewe unataka dollare na paund na uro
Ngoja nizichange nikifanikiwa kabla hujaresti in pisi nitaufufua mwaliko
...unatia watu preshanini bebii......
..aisee naona imefika wakati wa mm kujitoa Rasmi..kwenye hizi mbio..mtu chake naona zamu yangu haijafika na kijiti nitakipokea wakati anakaribia kurest in pisi aise maana sioni dalili
hiyo miadi utaitekeleza? mbona wangu uliupiga chini?
Hivi nawewe Preta huwa unarest in Peace mara nyingi au ndio unataka kuanza?
...sawa lakini dah..wakimbizaji wengi kweli kweli..?bebii....kwani wewe upo kwenye mbio....si u a zea tu stei....?
Kwamba unasubiri ni R.I.P uanze kutaka kunifahamu.......kwa nini usitake tufahamiane saa hizi.....we kama unataka kumfahamu Preta mPM.....mfanye miadi mkutane......sio nikiGO....muanze kuweka picha zangu humu na kuanza kusema....oooh maskini Preta....mara...mbona kinene kama tufe.....sitaki nasema....na sitaki mazoea......ngoja mtu aweke picha yangu ndio atanifehemu......
Nadhani nimeeleweka........
nina wivu kama nyegere....
hahahhaha baba v banaMaumivu ya kichwa huanza pooole pole!!!!!
hv kumbe....mi mzima bana....unapotea sana....hebu PM.....