Roho imenisuuzika sasa ngoja niingie PM,nikimalizana nao hawa jamaa wa Toronto kinachofuata ni Direct Flight KIA
Hahahahah
hakuna kitu hapa!
Dalili za kuwa dhaifu kiuchumiilikuwa lini hiyo....? hebu fanya mwingine uone.........
Hahaaaaaaaaaa.
Let me Pm you.
sijajua humu jamvini kuna nini
hata Erickb52 amekumbwa na haya maradhi,
sijui ni kama yale ya shule za weruweru na ashira
au kuna mazinga umbwe gani humu jamvini.
Mmmm!!