Tetesi: NSSF iko hoi?

Mzee kwanza shikamoo , halafu pole sana kwa yaliyokukuta , hii nchi kwa sasa inaenda kama gari lililokatika senta bolti , vumilia tu mzee wangu Mungu atakuokoa
We si tajiri mchangie sasa acha maneno ya kwenye kanga
 
Jamani Mungu huwa hazihakiwi kamwe, Sijui kama hili linaeleweka vizuri kweli kwa watu wengi. Katika moja ya agenda za ilani ya uchaguzi ccm 2015/20. Walituahidi na hili ni moja ya mambo mgombea wao ambaye ni Rais sasa JPM aliyasemaa sana, ni lile la kuanzishwa kwa mahakama ya Mafisadi/Wezi wa mali ya umma.

Tunampongeza Rais JPM kweli mahakama imeanzishwa. Na Mungu alivyo mwema kamfunulia mafisadi wako wazi kabisa kwa matendo yao waliyo ya fanya huko nyuma bila soni wala haya. Sasa tuone uthubutu wake yeye Mh Rais maana kazi hii ama kwa hakika si lelema.
 
Miaka 7 bado yupo madarakani Mungu atusaidie tu miujiza itokee kea kweli .Tushukuru kwankila Jambo enzi za JK tulilalamika wee mpaka Basi Sasa tumepata size yetu

kwani yeye ndio alijenga migorofa isiyo na wapangaji?
 
Hii ndiyo sababu ya kuyaunganisha mashirika haya kwa nguvu za kisheria ili kuficha ukweli huu. Si NSSF tu PSPF nayo ilikuwa/ipo ICU.
 
Wewe unapingana na tafiti? TWAWEZA walisemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NSSF ilishachoka miaka 4 iliyopita sasa hivi inaelekea kaburini,
1.Ina miradi hewa mingi iliyowekeza hela zake
2.Serikali imekopa sana katika huo mfuko
 
Serikali inapokopa toka mifuko ya jamii inatumia kigezo gani? Yaliyotokea NPF ya watu binafsi kukopa yanaweza kutokea sasa. Mbona wenyefedha zao hawakopeshwi? Mwisho kwanini NSSF hawakutani na wastaafu ambao tumekuwa tukienda kwenye ofisi zao na kupewa majibu ya dharau?
 
Ni kweli, ila ajabu hata sisi wanachama wanatutreat kama mijusi yaani mwaka sasa nadai michango yangu na sijaambulia kitu. Wanalaana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huwa si wanachukua pesa zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio maana wamezuia fao la kujitoa na just merge mashirika kama ppf kwenda nssf.
mwaka huu nastaafu hapo ndio kwanza nina miaka 34,nikitegemea mkataba wangu ukiisha nikazivute pesa zangu maskini sijui kama ntambulia kitu?
 
Kwani makinikia hatujalipwa??[emoji23][emoji23][emoji23] magufuri kwa kiki za pikipiki na usukuma wake!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…