Tetesi: NSSF iko hoi?

mkuu, wewe ndie unaonekana ni jitu la hovyo na lisilojitambua! ulitakiwa kumuelemisha na sio kuja na hoja za kijinga namna hii. tena wewe ndie huna lugha za staha. suala la ccm au upinzani ni suala binafsi la mtu na sio ukabila au ukanda.
 
Jitu la hovyo...hoja za kijinga....unadhani uko sahihi kwa kutumia lugha ya aina hii? Unajua madhara ya matusi mitandaoni???!!
 
kwani yeye ndio alijenga migorofa isiyo na wapangaji?
Angetengeneza solution na sio ku create more problems kwa kuwambia wajenge viwanda ambavyo havikuwa kwa plan.Yeye angewaambia wafanye analysis ya project portfolio zao na kuona kama zina faida au la na what is the wayward. hii ya kuongeza mzigo juu ya mizigo ndio maana wanafilisika
 
Pesa za 'kuwalipa wanaotoka upinzani kuunga mkono....zipo.
Za kufanya uchaguzi ndogo harakaharaka zipo!
Za wastaafu waliokatwa kwa miaka kibao hazipo wasubirie! Ni aibu aibu aibu!
 
Kwa hiyo ccm yenye lugha ya "nitaanza kupiga shangazi zenu" ndio lugha nzuri eeh! Wana Lumumba ni wa kuwapeleka kwa manabii mkatolewe mapepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…