NSSF, mbona Mafao yenu kiduchu kuliko wenzenu?

NSSF, mbona Mafao yenu kiduchu kuliko wenzenu?

Umejuaje kama kila jukwaa nipo km sio umbea...wadini wanaogeuza taasisi za umma kuwa taasisi zao za kidini kwa kuwabagua wengine....narudia tena ukiingia NSSF ni km umeingia kwny ofisi za BAKWATA!

Vp ushawai ingia PPF au kama kigango cha kanisa. Nakupa homework nitajie hata mkuu wa idara mmoja PPF ambae ni muislam ukitaka gugo humu majina yapo
 
Vp ushawai ingia PPF au kama kigango cha kanisa. Nakupa homework nitajie hata mkuu wa idara mmoja PPF ambae ni muislam ukitaka gugo humu majina yapo

Wakiacha kuona elimu ni Boko haram watakuwa wakuu wa idara bila wasiwasi!
 
Umejuaje kama kila jukwaa nipo km sio umbea...wadini wanaogeuza taasisi za umma kuwa taasisi zao za kidini kwa kuwabagua wengine....narudia tena ukiingia NSSF ni km umeingia kwny ofisi za BAKWATA!

Halafu NSSF hakuna ufisadi kabisa. Ni waadilifu na wanachapa kazi balaa
 

Muundo wa kanuni

Kanuni hizi zinaweka kikokotoo kimoja cha kuli-

pa mafao ya pensheni ya uzeeni kwa Mifuko yote

ya lazima ya pensheni.

Kanuni hizi ambazo zimeanza kutumika rasmi

tarehe 01/07/2014 zimefafanua maeneo makuu
yafuatayo:

Kurekebisha vikokotoo limbikizi vya mifuko

yote ya lazima ya pensheni.

Wanachama ambao wangepokea asilimia

60-67 sasa watapokea asilimia 72.5 ya mafao ya

pensheni mara watakapostaafu.

Kuthaminisha mafao (indexation) kwa
kuzingatia thamani ya fedha ili kuwafanya
wanaopokea mafao ya pensheni kuendelea
kumudu gharama za maisha.

Mstaafu anayepokea pensheni ndogo
atapandishwa na kulipwa asilimia 40 ya kima
cha chini cha mshahara wa Sekta yake husika.

Kukototoa pensheni ya uzeeni kwa kutumia
wastani wa mishahara ya miaka 3 badala ya
miaka 5. Hii itaboresha pensheni kwa asilimia
22 kwa Mifuko iliyokuwa inatumia wastani
wa miaka 5.

Kanuni hizi zinamruhusu mwanachama
kuchagua kupokea kiasi cha pensheni yake
kwa mkupuo au kulipwa pensheni yote kila
mwezi.

Hata hivyo kanuni hizi hazitawagusa
wanachama wa Mifuko ya pensheni ya PSPF

na LAPF waliosajiliwa kabla ya tarehe

01/07/2014.

Kikokotoo kipya cha Mafao ya Pensheni:

A.Malipo ya mkupuo:

1/580 x kipindi cha uchangiaji x Wastani wa
mishahara bora ya miaka 3 x 12.5 x 25%

B. Pensheni ya mwezi baada ya kutoa


mkupuo:
1/580 x Kipindi cha uchangiaji x Wastani wa
mishahara bora ya miaka 3 kwa mwaka x
75% x 1/12

C. Pensheni ya mwezi bila mkupuo:


1/580 x Kipindi cha uchangiaji x Wastani wa
mishahara bora ya miaka 3 kwa mwaka x
100% x 1/12
 
naposema NSSF mafao kidogo how? Tuseme mimi nipo PPF na mwingine NSSF woate tuna 10mils na tunataka kuchukua nani atapata interest kubwa?
 
1. Computation ya mafao ya wastaafu kwa mifuko ya GEPF, PPF, NSSF, fomula ni moja

2. Computation ya mafao ya wastaafu kwa mifuko ya LAPF, PSPF kwa waliojiunga kabla ya tarehe 01/07/2014 fomula yao ni tofauti, kwa waliojiunga kuanzia 02/07/2014 fomula ni moja sawa na namba moja hapo juu.

3. Fomula ya kukokotoa mafao ni moja kwa mifuko yote na inasimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii - SSRA
 
Ahahah hawa NSSF hela wanayozalisha nying wanakaa nayo tofaut na mfuko kama PSPF ambyo inatumia hela kulipa mafao
 
Mkuu nimeufatilia huo uzi uliouweka hapo juu vzr.
Mimi nimekuwa na hawa jamaa(NSSF) for 7 years now. Je ukitaka kuhamia mifuko mingine taratibu zikoje?

Kwa sasa (taratibu na sheria zilizopo) huwezi kuhama.
Unachoweza kufanya ni kama ukiacha kazi, dai mafao yako.
Baadaye, ukipata kazi nyingine jiunge na mifuko mingine (sio NSSF).
 
Kila anayeandika anakuja na vitisho kuzuia watu wasijiunge na NSSF. Lakini hakuna anayekuja na abc ya matatizo yaliyopo NSSF, hamtendi haki hata kidogo kulalamika bila kueleza sababu.

Mkuu watakuja kueleza ni kwa nini nssf ni bomu
 
Pia na hayo mafao mpaka uyapate, jasho itakutoka.
Kwanza lazima 'usubiri' ipite miezi sita baada ya kuacha kazi.
Halafu ukianza kudai mafao yako, hapo ndio utajuta kuwafahamu NSSF...

Sahv sio miezi 6 tena ni wiki moja tu .uthibitisho ni mmm mwenyeww
 
Pia na hayo mafao mpaka uyapate, jasho itakutoka.
Kwanza lazima 'usubiri' ipite miezi sita baada ya kuacha kazi.
Halafu ukianza kudai mafao yako, hapo ndio utajuta kuwafahamu NSSF...

Huo ni uongo kabisa.ni mwezi mmoja tuu.
 
Halafu ukitembelea ofisi zao hawajali kabisa muda wako, wanakuangalia kama sio mteja. Huu mfuko kwakweli nishida kwani mimi nimeshawachangia miaka kumi sasa, nikiangalia salio langu nakta magape kama 14 na zaidi, nikiwauliza wananiambia nimwone mwajiri, nikirudi kwa mwajiri nae ananiambia analipa michango kwamujibu wa sheria za nchi kwahiyo tatizo lipo NSSF. Mbaya zaidi ukiacha au kuachishwa kazi utafuatilia michango yako mpaka soli ya kiatu iishe. Najuta kujiunga na mfuko wa NSSF.
 
Back
Top Bottom