AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Halafu ukitembelea ofisi zao hawajali kabisa muda wako, wanakuangalia kama sio mteja. Huu mfuko kwakweli nishida kwani mimi nimeshawachangia miaka kumi sasa, nikiangalia salio langu nakta magape kama 14 na zaidi, nikiwauliza wananiambia nimwone mwajiri, nikirudi kwa mwajiri nae ananiambia analipa michango kwamujibu wa sheria za nchi kwahiyo tatizo lipo NSSF. Mbaya zaidi ukiacha au kuachishwa kazi utafuatilia michango yako mpaka soli ya kiatu iishe. Najuta kujiunga na mfuko wa NSSF.
NSSF ni majanga