Umejuaje kama kila jukwaa nipo km sio umbea...wadini wanaogeuza taasisi za umma kuwa taasisi zao za kidini kwa kuwabagua wengine....narudia tena ukiingia NSSF ni km umeingia kwny ofisi za BAKWATA!
Vp ushawai ingia PPF au kama kigango cha kanisa. Nakupa homework nitajie hata mkuu wa idara mmoja PPF ambae ni muislam ukitaka gugo humu majina yapo

Wakiacha kuona elimu ni Boko haram watakuwa wakuu wa idara bila wasiwasi!
Je upi ni mfuko bora zaidi Mparee2 na Mu-Israeli ?
Mfuko ninaoufahamu ambao ni mzuri ni PPF.
NSSF usiende hata kwa kuburuzwa na bulldozer, utalia...!!
https://www.jamiiforums.com/habari-...naowekewa-michango-yenu-nssf-poleni-sana.html
Mkuu nimeufatilia huo uzi uliouweka hapo juu vzr.
Mimi nimekuwa na hawa jamaa(NSSF) for 7 years now. Je ukitaka kuhamia mifuko mingine taratibu zikoje?
Mfuko ninaoufahamu ambao ni mzuri ni PPF.
NSSF usiende hata kwa kuburuzwa na bulldozer, utalia...!!
https://www.jamiiforums.com/habari-...naowekewa-michango-yenu-nssf-poleni-sana.html
Kila anayeandika anakuja na vitisho kuzuia watu wasijiunge na NSSF. Lakini hakuna anayekuja na abc ya matatizo yaliyopo NSSF, hamtendi haki hata kidogo kulalamika bila kueleza sababu.
Pia na hayo mafao mpaka uyapate, jasho itakutoka.
Kwanza lazima 'usubiri' ipite miezi sita baada ya kuacha kazi.
Halafu ukianza kudai mafao yako, hapo ndio utajuta kuwafahamu NSSF...