AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Halafu ukitembelea ofisi zao hawajali kabisa muda wako, wanakuangalia kama sio mteja. Huu mfuko kwakweli nishida kwani mimi nimeshawachangia miaka kumi sasa, nikiangalia salio langu nakta magape kama 14 na zaidi, nikiwauliza wananiambia nimwone mwajiri, nikirudi kwa mwajiri nae ananiambia analipa michango kwamujibu wa sheria za nchi kwahiyo tatizo lipo NSSF. Mbaya zaidi ukiacha au kuachishwa kazi utafuatilia michango yako mpaka soli ya kiatu iishe. Najuta kujiunga na mfuko wa NSSF.
Kila anayeandika anakuja na vitisho kuzuia watu wasijiunge na NSSF. Lakini hakuna anayekuja na abc ya matatizo yaliyopo NSSF, hamtendi haki hata kidogo kulalamika bila kueleza sababu.
Halafu ukitembelea ofisi zao hawajali kabisa muda wako, wanakuangalia kama sio mteja. Huu mfuko kwakweli nishida kwani mimi nimeshawachangia miaka kumi sasa, nikiangalia salio langu nakta magape kama 14 na zaidi, nikiwauliza wananiambia nimwone mwajiri, nikirudi kwa mwajiri nae ananiambia analipa michango kwamujibu wa sheria za nchi kwahiyo tatizo lipo NSSF. Mbaya zaidi ukiacha au kuachishwa kazi utafuatilia michango yako mpaka soli ya kiatu iishe. Najuta kujiunga na mfuko wa NSSF.
Sahv sio miezi 6 tena ni wiki moja tu .uthibitisho ni mmm mwenyeww
Halafu ukitembelea ofisi zao hawajali kabisa muda wako, wanakuangalia kama sio mteja. Huu mfuko kwakweli nishida kwani mimi nimeshawachangia miaka kumi sasa, nikiangalia salio langu nakta magape kama 14 na zaidi, nikiwauliza wananiambia nimwone mwajiri, nikirudi kwa mwajiri nae ananiambia analipa michango kwamujibu wa sheria za nchi kwahiyo tatizo lipo NSSF. Mbaya zaidi ukiacha au kuachishwa kazi utafuatilia michango yako mpaka soli ya kiatu iishe. Najuta kujiunga na mfuko wa NSSF.
Huo ni uongo kabisa.ni mwezi mmoja tuu.

1. Computation ya mafao ya wastaafu kwa mifuko ya GEPF, PPF, NSSF, fomula ni moja
2. Computation ya mafao ya wastaafu kwa mifuko ya LAPF, PSPF kwa waliojiunga kabla ya tarehe 01/07/2014 fomula yao ni tofauti, kwa waliojiunga kuanzia 02/07/2014 fomula ni moja sawa na namba moja hapo juu.
3. Fomula ya kukokotoa mafao ni moja kwa mifuko yote na inasimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii - SSRA
Kumbe NSSF ni majanga
Ni majanga nilimshauri mr.aachane nao alipoacha kazi akaomba mafao walimsumbua sana akapata kazi sehemu nyingine so amejiunga na pspf now
Kweli hao wanazngua mafao wanaonjesha tu
Hakika inasikitisha hivi majuzi nimeenda moja ya ofisi zao katika Mkoa wa Kigoma nilichokiona ni kwamba hakuna cha mteja ni mfalme ila ubabaishaji uliopitiliza.Wakati niko lango la kuingia nikaulizwa na mlinzi nimeenda kufanya nini ofisi ile,nikamjibu pale hapakuwa mahala sahihi kuelewa shida yangu.Alipiga simu kwa Mlinzi mwingine aliyomo ndani naye akasema muda wa kazi umeisha name saa yangu ilikuwa inasoma saa 8 mchana.niliomba kuongea naye kwa simu nikapewa na katika maelezo yake aliniambia yeye ni mtekelezaji wa maagizo ya uongozi ambao umeagiza ifikapo saa 7 mchana shughuli za utoaji huduma huwa zinasitishwa.Ilinitia uchungu kwani mimi naamini Nssf bila michango yetu haiwezi kuwepo.Ukiingia ofisi za NSSF ni km umeingia ofisi za BAKWATA!
Hakika inasikitisha hivi majuzi nimeenda moja ya ofisi zao katika Mkoa wa Kigoma nilichokiona ni kwamba hakuna cha mteja ni mfalme ila ubabaishaji uliopitiliza.Wakati niko lango la kuingia nikaulizwa na mlinzi nimeenda kufanya nini ofisi ile,nikamjibu pale hapakuwa mahala sahihi kuelewa shida yangu.Alipiga simu kwa Mlinzi mwingine aliyomo ndani naye akasema muda wa kazi umeisha name saa yangu ilikuwa inasoma saa 8 mchana.niliomba kuongea naye kwa simu nikapewa na katika maelezo yake aliniambia yeye ni mtekelezaji wa maagizo ya uongozi ambao umeagiza ifikapo saa 7 mchana shughuli za utoaji huduma huwa zinasitishwa.Ilinitia uchungu kwani mimi naamini Nssf bila michango yetu haiwezi kuwepo.
tatizo la mifuko yetu híi haiwajibiki kwa wanachama inawajibika kwa wanasiasa hasa watawala mfano mkurugenzi mkuu ni mteule wa rais badala kuchaguliwa na wanachama haya ndio yanapelekea pesa zetu kutolewa bila hata mikataba kupelekwa kujenga UDOM na serikali kusuasua kulipa pesa ilizokopa,matokeo yake tunalipwa mafao kidogo
Well said mkuu, mimi sielewi kwa nini wanachama wasiwe share holders ili wawe na sauti katika mfuko wao (NSSF) - kama hilo lingefanyika wanachama wangekuwa na uwezo wa kuwajibisha wahusika ili wasijingize kwenye baadhi ya miradi ambayo return of investment ni almost nil!!!
Wakuhulizwa maswali magumu wanakuja juu, wako huru mno and that is not healthy - hayo ni maoni yangu.
Nssf wapo vizur kuliko mifuko yote
Wana scheme ya mikopo kupitia kazini,ni laaaaana kwa shirika kama hili kudharirisha wafanyakazi wanaounganisha nguvu kupitia Saccoss,this is the Hell of a Company.
siwezi iamini NSSF katika maisha yangu
never ever