NSSF mmetupiga kitu kizito hapa Watanzania

NSSF mmetupiga kitu kizito hapa Watanzania

Ulipaswa uandike mradi utaisha lini na sio kukosoa kwamba haikupaswa kujengwa Mwanza...

Suala la faida na hasara za miradi nawaachia wataalamu.
Labda hapo ndo nimekosea ila kiukweli dhamira yangu ilikuwa ni kwamba NSSF imetupiga kwenye upembuzi yakinifu! Huwezi kuamini ila mpaka 2026 hii hoteli haitokuwa imemalizika.
 
Mtu mwenye maarifa anajua Mwanza ina future nzuri kuliko Arusha...

Ukiondoa utalii Arusha, inabaki nini?

Jiji linakufa...

Mwanza linapaswa kua jiji la wavuvi ila ukiondoa uvuvi jiji halita stop ...

Mwanza ina shughuli nyingi za kiuchumi kuzidi Arusha...

Ulipaswa ushangae Mwanza kukosa miundombinu ya uhakika ilihali inastahili kua nazo.
Lakini Mkuu unadhani kwa mikakati ya Hoteli zilizopo Mwanza, kweli hoteli ya NSSF itapata mafanikio?! Kama tu ndani ya Hoteli za Gold Crest, Isamilo Grand Hotel, Malaika Beach, Adden na zingine zina mikono ya viongozi wa serikali!?
 
Lakini Mkuu unadhani kwa miakakti ya Hoteli zilizopo Mwanza, kweli hoteli ya NSSF itapata mafanikio?! Kama tu ndani ya Hoteli za Gold Crest, Isamilo Grand Hotel, Malaika Beach, Adden na zingine zina mikono ya viongozi wa serikali!?
Nilitarajia utanambia hizo hoteli ulizotaja zimefungwa kwa kukosa wateja...

Kua na mikono ya viongozi kuna shida gani mkuu?

Au sijaelewa hoja yako labda!
 
Na tatizo ni kwamba hakuna roadmap kwamba faida itaonekana hivi karibu! Mafao ndo yameenda kujenga nchi!
Kuna mawili, walianza kujenga bila kujua kwamba watahitaji mwendeshaji, au walijua lakini hawakuona kama ni jambo la muhimu. Mambo yote mawili ni ya hovyo kabisa.

Hiyo pesa ni bora ingeenda kujenga miundombinu inayosaidia wananchi
 
Kuna mawili, walianza kujenga bila kujua kwamba watahitaji mwendeshaji, au walijua lakini hawakuona kama ni jambo la muhimu. Mambo yote mawili ni ya hovyo kabisa.

Hiyo pesa ni bora ingeenda kujenga miundombinu inayosaidia wananchi
Kiukweli kama sasa hivi ndo wanajenga ngazi za nje na jengo linaonekana kama Tembo ni wazi kusema kuwa halikuwa hawajajipanga kabsa kuu.
1721722573497.png
 
Daah watu kwa unafki hamjambo 😅😅 Mwanza hii ambayo hta hamna chuo cha serikali ndio inachangamshw na wanachuo!? Lbd nkwambie ktu serikali yenyewe inajua kwa Mwanza imeshachelewa na wanaona inajtitosheleza ktu ambacho sio, Mwanza haina wanachuo wakusema ety wanaichangamsha lbd useme Dodoma huko.
Mji wenyewe unachangamshwa na wanafunzi wa chuo wakifunga tuu mji kimyaa kila mtu anaenda likizo hadi daladala
 
Mleta mada sijakuelewa unalaumu mradi kujengwa Mwanza ama!? Umetoa maelezo ttzo ni muendeshaji sasa hzo Hotel haikupaswa kujengwa Mwanza zinatoka wap!? Au ndio unataka utupange ety wangejenga Arusha, Mbeya ilhali hayo ni majiji madogo kwa Mwanza!? Kitu kingne unachopaswa kujua ni kwamba hata kama mradi kama huu ukifeli Mwanza sio kosa Leo.

Kwa sababu kama umefeli Mwanza bas ungejengwa Dar ila kama wangejiroga wajenge Arusha, Mbeya au Dodoma bas wangeangukia pua zaid ya Mwanza.
 
Back
Top Bottom