nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
watu wapuuzi kama wewe ndio wanasababisha kila mradi uende Dar...Ni kweli na wazi Mkuu! Ni heri wajenge hoteli sehemu za kimkakati kama Arusha! Huku maskini wa Mungu sijui wamefuata nini Mwanza?!
Ulipaswa uandike mradi utaisha lini na sio kukosoa kwamba haikupaswa kujengwa Mwanza...Ni kweli kabsa! Sijakataa kuwa mradi haupaswi kutokuwepo Mwanza ila je utaisha lini na hizo fedha zilizotumika hapo mrejesho wake utakuwa ni faida au hasara?!
Mwanza hamna tatizo hata international airport inajengwa huko , watu ni wengiNi kweli kabsa! Sijakataa kuwa mradi haupaswi kutokuwepo Mwanza ila je utaisha lini na hizo fedha zilizotumika hapo mrejesho wake utakuwa ni faida au hasara?!
Labda hapo ndo nimekosea ila kiukweli dhamira yangu ilikuwa ni kwamba NSSF imetupiga kwenye upembuzi yakinifu! Huwezi kuamini ila mpaka 2026 hii hoteli haitokuwa imemalizika.Ulipaswa uandike mradi utaisha lini na sio kukosoa kwamba haikupaswa kujengwa Mwanza...
Suala la faida na hasara za miradi nawaachia wataalamu.
Lakini Mkuu unadhani kwa mikakati ya Hoteli zilizopo Mwanza, kweli hoteli ya NSSF itapata mafanikio?! Kama tu ndani ya Hoteli za Gold Crest, Isamilo Grand Hotel, Malaika Beach, Adden na zingine zina mikono ya viongozi wa serikali!?Mtu mwenye maarifa anajua Mwanza ina future nzuri kuliko Arusha...
Ukiondoa utalii Arusha, inabaki nini?
Jiji linakufa...
Mwanza linapaswa kua jiji la wavuvi ila ukiondoa uvuvi jiji halita stop ...
Mwanza ina shughuli nyingi za kiuchumi kuzidi Arusha...
Ulipaswa ushangae Mwanza kukosa miundombinu ya uhakika ilihali inastahili kua nazo.
Nilitarajia utanambia hizo hoteli ulizotaja zimefungwa kwa kukosa wateja...Lakini Mkuu unadhani kwa miakakti ya Hoteli zilizopo Mwanza, kweli hoteli ya NSSF itapata mafanikio?! Kama tu ndani ya Hoteli za Gold Crest, Isamilo Grand Hotel, Malaika Beach, Adden na zingine zina mikono ya viongozi wa serikali!?
Kuna mawili, walianza kujenga bila kujua kwamba watahitaji mwendeshaji, au walijua lakini hawakuona kama ni jambo la muhimu. Mambo yote mawili ni ya hovyo kabisa.Na tatizo ni kwamba hakuna roadmap kwamba faida itaonekana hivi karibu! Mafao ndo yameenda kujenga nchi!
Kiukweli kama sasa hivi ndo wanajenga ngazi za nje na jengo linaonekana kama Tembo ni wazi kusema kuwa halikuwa hawajajipanga kabsa kuu.Kuna mawili, walianza kujenga bila kujua kwamba watahitaji mwendeshaji, au walijua lakini hawakuona kama ni jambo la muhimu. Mambo yote mawili ni ya hovyo kabisa.
Hiyo pesa ni bora ingeenda kujenga miundombinu inayosaidia wananchi
Kwa mtu ambaye hajafika Mwanza...Umefanya mpaka nimecheka kwa nguvu!
Kwakweli...Au ni sawa na Msoga π
Mji wenyewe unachangamshwa na wanafunzi wa chuo wakifunga tuu mji kimyaa kila mtu anaenda likizo hadi daladala