mtaratibuuuuuu
Member
- Aug 17, 2009
- 60
- 4
Tafadhali kama kuna m2 yeyote mwenye taarifa za interview ya NSSF tafadhal naomba anijuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali kama kuna m2 yeyote mwenye taarifa za interview ya NSSF tafadhal naomba anijuze
Kaka vumilia kazi si rahisi hivyo umeapply juzi 2 leo unataka uitwe kwenye interview inabidi uhesabu mwezi miwili au mmoja na nusu hivi ndio ukumbuke kuwa kuna interview.
Serengeti boys at work.
kaka kwa hizo nafaci sahau kabisa fanya kama hujaapply ,zinachukua mda mrefu sana ,ni zaidi ya miezi mitano ndo wanaweza kuita labda utaratibu wao ubadilike saivi lakini sidhani kwani ndo kama formula yao na wakishaita written interview,unasubiri tena miezi miwili ndo wanaita oral ambayo ndo final ,hata hivyo apllication zimekusanywa kwa viroba .
Lakini wadau mbona kuna rafiki yangu wa kike ameshaajiriwa Week kama 2 au 3 zilizopita....Kamlete