NSSF wameshaita wa2 kwenye interview?

NSSF wameshaita wa2 kwenye interview?

Joined
Aug 17, 2009
Posts
60
Reaction score
4
Tafadhali kama kuna m2 yeyote mwenye taarifa za interview ya NSSF tafadhal naomba anijuze
 
Kaka vumilia kazi si rahisi hivyo umeapply juzi 2 leo unataka uitwe kwenye interview inabidi uhesabu mwezi miwili au mmoja na nusu hivi ndio ukumbuke kuwa kuna interview.
 
Nakumbuka mwaka 2008 nssf walitangaza nafasi za kazi mwezi wa nne (4) tuliitwa kwenye interview mwezi wa tisa (9).
 
kk vuta subra kwen subra huleta heri. kwa hakika hauko peke yako tupo wengi hivyo ninauhakika kuwa pindi tu majina ya waliochaguliwa kwa ajili ya interview yakitoka wana JF bila shaka watatujuza.
 
kaka kwa hizo nafaci sahau kabisa fanya kama hujaapply ,zinachukua mda mrefu sana ,ni zaidi ya miezi mitano ndo wanaweza kuita labda utaratibu wao ubadilike saivi lakini sidhani kwani ndo kama formula yao na wakishaita written interview,unasubiri tena miezi miwili ndo wanaita oral ambayo ndo final ,hata hivyo apllication zimekusanywa kwa viroba .
 
Mm sishangai mkaitwa mwakani katika miezi kama hii....., kwani kuna sehemu serikalini niliomba kazi mwaka jana mwezi wa 10, nikaitwa interview ya mwanzo mwezi wa 7, na ya pili mwezi wa 9 mwishoni na bado nasubiria interview ya tatu.

Tuwe na subira na kazi za serrikalini, kama una inshu ya tempo yoyote bora ukafanye ili upate pesa ya application, nauli na kununua package ya net kila wiki kuliko kusubiria , coz zinachukua muda sana.

Nawasilisha mdau.....!
 
Lakini wadau mbona kuna rafiki yangu wa kike ameshaajiriwa Week kama 2 au 3 zilizopita....Kamlete
 
Back
Top Bottom