Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Mkurugenz ni mteule wa Rais na anaripot kwa body of Trustees...
Upo hapo?
Bado nakudai ushahid Mkuu...sijauona zaid zaid ya hayo mauza uza na kusema eti wamenunua ekari moja kwa million 800..!!
Khaaa...nyinyi viume hamna hata khaaya?
Hilo litakua shirikaaa au utumbooo ha ha ha
Hizo kwaaya zenu tafuten sehemu za kwenda kuimbia aiseee
Pamoja na fact kwamba Taarifa haisemi kuwa yeye kaidhinisha ununuz wa hiyo hekari moja kwa sh million mia nane bado nakuuliza nawewe unaliamin hilo?
Teh teh teh
Uwiiiii....kaaz kweli kweli
Tumetofautiana viwango tu. Sidhani kuna aliye squeaky clean!Alhaji Ramadhani kitwana Dau kitanzini hhahahahaah mwisho wa ubaya aibu kaanikwa madudu na muislam mwenzie,kwanin mbona waislam wengi tu kina Assad hawana lawama ?(they are clean i guess )ila sheikhDau ukonga panamhusu
Makka alishakwenda ndiyo mana ndiyo sababu ya kuitwa alhajiMaalim Dau akichomoa hii, breki ya kwanza Makka.
Wenye suruali fupiPesa mwanaharamu kweli Dau alikuwa analipa makundi ya wahuni yaweze kumtetea mitandaoni.
Tumetofautiana viwango tu. Sidhani kuna aliye squeaky clean!
Nawewe unakubali kuwa yeye Dau anaweza tambua hilo kuwa heka moja inauzwa million mia nane kisha nayeye atoe idhin?
Ha ha ha Dr Dau is smarter than that.
Unataka ushahid gani zaidi ya report ya cag?kweli elimu madrassa taabuHa ha ha
Na hicho ndicho kilichobakia...
Mmeshindwa kusimamia kwenye fact na ushahid mmebaki kupiga ramli siyo...
Mkurugenz ni mteule wa Rais na anaripot kwa body of Trustees...
Upo hapo?
Bado nakudai ushahid Mkuu...sijauona zaid zaid ya hayo mauza uza na kusema eti wamenunua ekari moja kwa million 800..!!
Khaaa...nyinyi viume hamna hata khaaya?
Hilo litakua shirikaaa au utumbooo ha ha ha
Hizo kwaaya zenu tafuten sehemu za kwenda kuimbia aiseee
Nawewe unakubali kuwa yeye Dau anaweza tambua hilo kuwa heka moja inauzwa million mia nane kisha nayeye atoe idhin?
Ha ha ha Dr Dau is smarter than that.
report gani nisaidie na mm nisomeWewe ennndelea kubisha ukwelu upo wazi eka moja m800 na b1.2 ipo kwenye report no deal can done without aprovall of a director u idiot
Kwa kashfa hizi, watetezi wa Dr Dau washaumbuka, maana tuliambiwa hakuna mtu wa kuziba pengo lake, kumbe siri ni upigaji deal tuuu.
=> Ujenzi wa hoteli Mwanza, kampuni mbili zapewa mabilioni kwa kazi zile zile
=> Mkandarasi wa ujenzi wa jengo la Biashara la Mzizima azidishiwa malipo.
=> Ujenzi wa hoteli ya kitalii Mwanza, wakandarasi walizidishiwa zaidi ya Bilioni 16 sawa na asilimia 23 ya mradi wote bila sababu za msingi.
=> Kuhusu ujenzi wa jengo la biashara Mzizima Tower ni kwamba kampuni tatu ziliomba mradi huo ambazo ni Atlas, Ginde na Jandu ambayo ilishinda.
Wataki wa kuwasilisha maombi ya zabuni ya Jandu ilikuwa sh. 8,346,155,654 lakini kamati ya Tathmini iliketi na kupitia upya mkataba na kubaini makosa hivyo ilirekebisha zabuni hiyo isomeke 8,340,700,710.94 pamoja na ongezeko la Thamani (VAT). Jandu aliridhia marekebisho hayo.
Pamoja na marekebisho hayo, mkataba waliosainiana kati ya NSSF na Jandu ulikuwa wa kiwango kile kile kilichokosewa cha sh. 8,346,155,654 chenye ziada ya sh. 5,454,943.
![]()
umesalimiwa na rafikio sir elton john. hujaanza kutembea na pampas maana mwenzio yupo mbioni. kwani wewe unaolewa lini?We jinga sana smarter dau ee,ni mwivi aliyekubuhu,subirini kuna ripoti itatoka BOT&SSRA ndo utajua madudu ya huyo smarter wenu,