Mkurugenzi asijue kuwa Eka 1 imenunuliwa kwa 800ml?
A
Cha ujinga wewe board wanaidhinisha tu mambo ambayo wamepelekewa na DG isitoshe hadi board yao aliiwekwa mfukoni walijengewa mazingira ya kuvuta mpunga na kufungwa midomo,kama mnapelekwaa Dubai nk kwa vikao vya kawaida mdomo si utakuja na mda wote itakuwa unaufunga kuogopa harufu isisambae,huyu dau ana kibri sana hata mawaziri walikuwa wanaonekana watu wa hovyo kwake hayo yalimkuta hata rais wetu kipenzi JPM,sasa rungu analo dau atashaa
Dau si jipu.Ni saratani ya ubongo hii.
Utashangaa anapewa adhabu ya kwenda kufanya usafi Palestina hospitali.
ulishawah kulawitiwa siku za nyuma?..huo msikiti alioujenga pale nssf upo upande gani?..kandarasi ya ujenzi alipewa nani?Yaani huyu Alhaji Dr Dau pamoja na kujenga msikiti ofisini bado alikuwa ana tabia mbaya hivi? Kumbe hata huko Macca watu wanaenda kutalii tuu na sio kutubu na kuwa watu wema.
hivi chenge hakuingiaga huku?
Lake degate au nimekosa,hiyo ndo PACPAC ilikuwa wapi wakati haya yote yanafanyika?
We nguruwe huwezi kuwa mjanja moja kishule,pili kikipato tatu kimaisha,nasema dau mwizi na atafungwa mlivitumia vigazeti vyenu akhuda na alnur eti nchi imetikisika kisa firauni dau kaondolewa Nssf,sasa mlilalama nini kama akipewa u diplomat,huo udiplomat ukishaijua wanaenda wapi kuwa balozi,jipuuuuuRungu gan sasa?
Kama magufuli alikuwa anajua uhusika wa Dau kwenye hayo madudu angemtumbua na kumwajibisha...
Iweje sasa amteue kuwa diplomat?
Magufuri ndiyo kusema anamwogopa Dau?hata akili hutumiii..how old are you?...
JF hii nowdays imebadilika usikute ninachart na mtoto wa form four failure hapa...
ni kweli mkuu kwa maisha yetu ya moshi kwa zile kodi za pale amna atakayethubutu kukodi hata sqm mojaMsisahau na magodown ya Ubungo,Manji alikopa hela NSSF akanunua na kuyakarabti tena hayo magodown ambayo yalikuwa yanamilikiwa na NSSF na kuyauza tena kwa NSSF kwa hela ndefu.Majengo mengi ambayo ni''vitega uchumi''sasa yamekuwa magofu hayana wapangaji,nenda pale mjini Moshi Kilimanjaro baada ya Uchumi Supermarket kufunga shughuli zake hakuna tena mpangaji yoyote wa maana,hii miradi ilikuwa ni sehemu ya kufujia fedha za wafanyakazi na haina tija kwa shughuli za NSSF sababu haingizi mapato yoyote zaidi ya kutia hasara,ninaamini hayo majengo yalijengwa kwa kuwekea cha juu cha nguvu ambacho kilirudi mifukoni kwa waendeshaji wakuu wa NSSF,haya mambo ndio sasa yamerudia tena NHC na hadi kumfanya Waziri Lukuvi ashtuke,kuamuru menejimeny ya NHC kutoaanzisha tena miradi mipya,tukumbuke Msechu na timu yake wamekopa mabilioni katika mabenki hapa nchini je kwa miradi kama hii ambayo haina soko hizo hela(mkopo) pamoja na riba zake watarudisha kwa pesa ipi kama sio tena kwenda serikalini na kuomba kodi za wananchi ndio zilipe?wakati wao tayari wameshachukua cha juu ,nadhani ni wakati hawa viongozi wa mashirika/mifuko hii wachunguzwe mali na rasmali zao walizonazo kwa maana wana UKWASI wa kutisha,tusisubili tu akina FONSECA walipue mabomu ndio tujua watu wana vijisenti vyetu kwenye Offshore accounts,kama za Panama.
Mheshimiwa sana Inama ni kusweke mbona lugha yako sio ya hapa Jukwaani? Au unajitangazia biashara? Nenda kule jukwaa na matangazo madogo madogo kajitangaze.ulishawah kulawitiwa siku za nyuma?..huo msikiti alioujenga pale nssf upo upande gani?..kandarasi ya ujenzi alipewa nani?
We unadhani hayo matakataka ni ya nani?Kama kweli hayo matakataka ni yake basi Dr Dau keshaumia
Kuna sababu gani yakuwepo DGNawewe unakubali kuwa yeye Dau anaweza tambua hilo kuwa heka moja inauzwa million mia nane kisha nayeye atoe idhin?
Ha ha ha Dr Dau is smarter than that.
hii imetoka kitengoni kama preemptive strategy....Kwa jinsi ninavyojua usiri wa rais wetu hii ripoti ya mwananchi inatia shaka na imekaa kwa misingi ya wewe umemwaga mboga mi namwaga ugali, tusubir ripoti halisi maana kama kuna mtu kalipwa ili amchafue mtu vile!!!