NSSF yazidi kuumbuka: Ufisadi wa ujenzi wa Hoteli Mwanza, jengo la biashara Mzizima

NSSF yazidi kuumbuka: Ufisadi wa ujenzi wa Hoteli Mwanza, jengo la biashara Mzizima

Wewe lazima utakuwa na akili ya kijinga na akili ya kichandudoa tuh

Mtu mwenye akili timamu ataweza vip amin taarifa eti kwamba watu wanaweza nunua hekari moja kwa shilling million 800?na ukiwaomba ushahid wanaweka picha ya daraja?kama siyo wehu ni kitu gan
Kwa hio wewe una akili nyingi kuliko Alhaji Profesa Assad??
 
Kwa ufisadi huu wa Dau hata Chenge ni mtakatifu....

Chenge kafanya deal zake sijui za ki consultancy sijui nini at least zilihusu taaluma yake, lakini hili la Dk.Dau kama madai yenyewe ni ya kweli basi hii itafanya mchongo wa Chenge uonekane kama childrens' PICNIC - ya Dk.Dau yanatishaa unless ana ushahidi wa implicate watu wengine kwenye scandal maanake yeye kama yeye hawezi kuwa na abavu wa kufanya madudu yote haya on his own!!!
 
Kwa kashfa hizi, watetezi wa Dr Dau washaumbuka, maana tuliambiwa hakuna mtu wa kuziba pengo lake, kumbe siri ni upigaji deal tuuu.

=> Ujenzi wa hoteli Mwanza, kampuni mbili zapewa mabilioni kwa kazi zile zile

=> Mkandarasi wa ujenzi wa jengo la Biashara la Mzizima azidishiwa malipo.

=> Ujenzi wa hoteli ya kitalii Mwanza, wakandarasi walizidishiwa zaidi ya Bilioni 16 sawa na asilimia 23 ya mradi wote bila sababu za msingi.

=> Kuhusu ujenzi wa jengo la biashara Mzizima Tower ni kwamba kampuni tatu ziliomba mradi huo ambazo ni Atlas, Ginde na Jandu ambayo ilishinda.

Wataki wa kuwasilisha maombi ya zabuni ya Jandu ilikuwa sh. 8,346,155,654 lakini kamati ya Tathmini iliketi na kupitia upya mkataba na kubaini makosa hivyo ilirekebisha zabuni hiyo isomeke 8,340,700,710.94 pamoja na ongezeko la Thamani (VAT). Jandu aliridhia marekebisho hayo.

Pamoja na marekebisho hayo, mkataba waliosainiana kati ya NSSF na Jandu ulikuwa wa kiwango kile kile kilichokosewa cha sh. 8,346,155,654 chenye ziada ya sh. 5,454,943.

bcf1b0e04b93ced39f4d744dfd170f1c.jpg
Siyo kama imeliwa kichwa cha habari kilipaswa kiwe Dau alivyoinywa NSSF kwani hiyo ni michongo tu.Labda zilienda kwenye kampeni wapi katibu mkuu wetu?
 
Elimu ya madrasa ni basic na elementary kwangu.

Ni fahari yangu kubwa mimi kuwa na elimu hiyo...

Siwez kujigamba na elimu ya parokia ambayo siku zoote imekua inazalisha wasomi wezi na wahujum wa taifa hili tokea lipate uhuru wake hadi leo hii
Ina maana kikwete na dau wamepata elimu ya parokia ndio maana yakawa majizi ya kutisha?
 
Kunyea debe kwa porojo hizo eti kwamba shirika limenunua ekari moja kwa million mia nane?

Au kwa ushahid wa hizo picha za daraja la kigamboni?

Teh teh teh..stupid nchi hii wajinga hamuwezi kwisha

Hili la kusema walinunua eka moja kwa million mia nane, nadhani hapo wameweka chumvi mno!!
 
Ndio maana mimi huwa najiuliza sana huyu JPM kila wakati yeye anahitaji tumwombee iweje huku kazungukwa na vyombo chungu nzima vya ulinzi na usalama kumbe hii vita sio ya mwili na nyama imekaa kiulimwengu wa roho zaidi,wezi wa namna hii watatumia nguvu za giza kujilinda na kupambana.
 
Sasa hivi umeshamuelewa sio?
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Eti "Farewell to Arms" au "Farewell to stealing"!!! kumbe ufisadi mtupu! Wako wapi wale watetezi wa Dau?!
 
Eti "Farewell to Arms" au "Farewell to stealing"!!! kumbe ufisadi mtupu! Wako wapi wale watetezi wa Dau?!

Tatizo mnaongea kama mnajinyea.

Tunachotaka ni nyinyi kuweka hapa kila data inayoonesha ufisadi wa Dau hapo Nssf badala yake mmebakia na maneno matupu yasiyo na ushahid kama haya ya gazeti la mwananchi ya ekari moja kwa sh million 800...

Teh teh teh

Sasa mtatoaje tuhuma bila ushahid?

Mnakuwa kama manyumbu
 
Kwanza jina lako tu magumashi.. Isis na cia wapi na wapi.. Ndio sheikhe alivyokumezesha hivyo?

Bado ni mtoto mdogo huna unachokielewa.

Wewe shinda hapa JF baadae jion ukapange folen kwa mama yako kusikilizia ugali...

huna zaid ya hiko
 
daah i itatuchukua miaka mingi kutoka hapa tulipo hii inasababishwa nakula vyakula vinavyodumaza akili hii ya kushambulia dn kama itaachwa iendelee ni hatari kwahiyo cku akifanya .ufisad kafiri ( wakristo) naye ashambuliwe kwa ukristo wa ke,?
 
Dah! kuna wakati najuta kuzaliwa Tanzania, yaani mimi nakosa ile hela ya msosi wa siku, wenzangu wapiga mahela bila huruma. masikini wazazi wangu kwanini hamkusoma nanyi muwe na nafasi serikalini mufaidi? naamini nami mwanenu nisingekuwa nahangaika kwasasa.
 
Tatizo mnaongea kama mnajinyea.

Tunachotaka ni nyinyi kuweka hapa kila data inayoonesha ufisadi wa Dau hapo Nssf badala yake mmebakia na maneno matupu yasiyo na ushahid kama haya ya gazeti la mwananchi ya ekari moja kwa sh million 800...

Teh teh teh

Sasa mtatoaje tuhuma bila ushahid?

Mnakuwa kama manyumbu
Mara nyingi lugha anayotumia mtu inaakisi haiba, weledi, uzoefu, makuzi na uwezo wa kufikiri wa mtu husika?! Subiri uone Balozi wa "Tanzania nchini Tanzania" kama hatabeba mtondo kama Kitillya siku chache zijazo! Kutumia lugha hasi na matusi ni dalili za kushindwa hoja, yaelekea wewe ni suruali fupi kama "Balozi wa Tanzania nchini Tanzania"; ukweli tutausema; kama hutaki meza chupa!
 
Kwa kashfa hizi, watetezi wa Dr Dau washaumbuka, maana tuliambiwa hakuna mtu wa kuziba pengo lake, kumbe siri ni upigaji deal tuuu.

=> Ujenzi wa hoteli Mwanza, kampuni mbili zapewa mabilioni kwa kazi zile zile

=> Mkandarasi wa ujenzi wa jengo la Biashara la Mzizima azidishiwa malipo.

=> Ujenzi wa hoteli ya kitalii Mwanza, wakandarasi walizidishiwa zaidi ya Bilioni 16 sawa na asilimia 23 ya mradi wote bila sababu za msingi.

=> Kuhusu ujenzi wa jengo la biashara Mzizima Tower ni kwamba kampuni tatu ziliomba mradi huo ambazo ni Atlas, Ginde na Jandu ambayo ilishinda.

Wataki wa kuwasilisha maombi ya zabuni ya Jandu ilikuwa sh. 8,346,155,654 lakini kamati ya Tathmini iliketi na kupitia upya mkataba na kubaini makosa hivyo ilirekebisha zabuni hiyo isomeke 8,340,700,710.94 pamoja na ongezeko la Thamani (VAT). Jandu aliridhia marekebisho hayo.

Pamoja na marekebisho hayo, mkataba waliosainiana kati ya NSSF na Jandu ulikuwa wa kiwango kile kile kilichokosewa cha sh. 8,346,155,654 chenye ziada ya sh. 5,454,943.

bcf1b0e04b93ced39f4d744dfd170f1c.jpg

kama ni kweli magnitude yenyewe ya upigaji ndiyo hii, itakuwa ngumu sana kum-single out Dau pekee. hapa lazima organised crime across the board itakuwa inahusu!

na kama ndiyo hivyo, story yote hii itaishia chini ya kapeti tu...
 
Chonde chonde mheshimiwa Magufuli tazama hii mifuko itutendee haki sisi wastaafu. Ni miezi kadhaa hatujapata mafao yetu huku hela zikifanyiwa miradi pamoja na kuwalipa mishahara wafanyakazi wa hii mifuko! Wastaafu ambao ndiyo nguzo ya kuanzishwa mifuko hii wamesahauliwa. Leo ni tarehe tano nado pspf hawajalipa mafao. Hivi hawajajilipa mishahara!! Mungu muongoze mh. Magufuli aingilie kati
 
Back
Top Bottom