For what purpose mimi niyapeleke kwa CAG?
Dont you ever think hata siku moja Dr Dau atakuwa mwehu na mwizi kama walivyo jamaa zenu kina Kitilya wanaoburuzwa mahakamani kwa aibu na ufisadi...never ever...and mark. My words...!
Maana naona jamaa zako wanashangilia sana kuhusu habari hiyo kana kwamba Nssf ni Dr Dau pekee na kwamba lolote linalotokea basi mfanyaji ni yeye kiujumla...
Tena hata ukiachilia mbali hivyo habari yenyewe ni kavu na isiyo na ushahid wala facts utaitumiaje kumuhukum Dr Dau kuwa kahusika na ufisadi huo simply because yeye alikuwa DG...kama .ni report ya CAG uiweke tuione na kama huna time will tell everything...
Acha shobo na umbea kwa wanaume utaolewa.