Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Huko inabidi aanze kwanza mazoezi ya kukimbiaKaenda somalia ndio
Huko inabidi aanze kwanza mazoezi ya kukimbiaKaenda somalia ndio
Hawezi tena kupewa cheo huyo si uraiani si gerezani baned.Hhahahhaha mkuu unamaanisha nyampara wa wafungwa?
Ndio yuko njiani hivyo mpaka aka apishwe Kisutu kama Kitilia.Hivi ameshakwenda ubalozini aliko ambiwa anaenda?
Haya wee.dah na swala zote zile
Daaaaa,sijui alipo kikwete na kinana wanajisikiaje hapoNdio yuko njiani hivyo mpaka aka apishwe Kisutu kama Kitilia.
Ndo maana jamaa alikuwa na genge lake la kumtetea kwenye mitandao kwa kutumia kigezo chu udini udini, magufuli hayo majipu yanyooshe ndo wakati wake huu kabla hata ya wabunge hawajayajadili, alikuwa anatumia kigezo cha dini yake imlinde sasa muislamu mwenzake profesa asad anamuumbua kwa kusema ukweli kwa data. Mungu ibariki Tanzania.
Naona magu yeye hilo halijui na anadhani 2020 ni mbaliLakini hawa wapigaji ndio wafadhili wakuu wa ccm kipindi cha uchaguzi, tunasema hayaaaaaaaa.
Huko ndio kumejaa uoza wa kufa mtu,Kiongozi kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka kumi na hasa kwenye hizi taasisi za kifedha hujiona yeye ndio taasisi na taasisi ndio yeye hata kuwa na hofu yoyote anapo amua kufanya jambo,bado sasa kwenye Daraja maana kule mpaka Wachina wali mjengea shule Kigamboni na zile ziara za UK,Arabuni sijui kama hakuna maslahi huko.
Kumbe tngelianza kuifanyia kazi kauli ya vijisent tangu alipoisema tungelikuwa tumeshamuelewa alichomanisha.
Hbu angalia dili la escrow yeye alikuwa na 1.6b lakini kuna watu wasiojulikana wana zaidi ya 250b, dili la rada alikuwa na 1.2b wakati wenyewe walikula 45b. Sasa angalia hawa wanaongelea trillions, rekodi mpya katika ufisadi wa nchi hii alafu unasema eti mapengo yao hayazibiki, mara tutawakumbuka.
Hivi nchi inawezaje kumsahau mtu anayekwapua pesa ambazo ni zaidi ya 30% ya makusanyo ya hazina kwa mwaka!?
Maneno yako hayana chembe ya shaka alipata ujasiri mahali flani.hapa kwenye hili la Dau kuna chain ndefu,kuna mazito makubwa tunaweza yasikia.hata Magu anaweza kushindwa kutumbua hili jipu,maana kuna watu atawaonea haya
Aende na huko ubalozini akaibe tena.
Mkwere ni shida sana kwenye utawala wakeManeno yako hayana chembe ya shaka alipata ujasiri mahali flani.
Kwi kwi kwi kwi kwi!! Duh huu si ushauri isipokuwa hasira tuAende na huko ubalozini akaibe tena.
Akamuibie nani ubalozi wa Segerea?Aende na huko ubalozini akaibe tena.
Naamini kama magu keshaligundua hilo hata huko ubalozi hawezi kwenda tena na badala yake ataenda kuwa balozi ndani ya segerea au ukongaKwi kwi kwi kwi kwi!! Duh huu si ushauri isipokuwa hasira tu