datz
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 856
- 976
teh teh ndo nimeanza kuelewa maana ya vijisentiKumbe tngelianza kuifanyia kazi kauli ya vijisent tangu alipoisema tungelikuwa tumeshamuelewa alichomanisha.
Hebu angalia dili la escrow yeye alikuwa na 1.6b lakini kuna watu wasiojulikana wana zaidi ya 250b, dili la rada alikuwa na 1.2b wakati wenyewe walikula 45b. Sasa angalia hawa wanaongelea trillions, rekodi mpya katika ufisadi wa nchi hii alafu unasema eti mapengo yao hayazibiki, mara tutawakumbuka.
Hivi nchi inawezaje kumsahau mtu anayekwapua pesa ambazo ni zaidi ya 30% ya makusanyo ya hazina kwa mwaka!?
kuna watu matajiri sana tz